Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
kwanini wasipuuzwe tuBila vitendo kama hivi Chadema wanajiona hawajafanya kabisa siasa Tanzania, hizi purukushani na serikali iwe kwa kukusudia au bila kukusudia ndio mambo ambayo Chadema huwafanya waone wanafanya siasa na ndio huwapa umaarufu.
Inawezekana sana , ila ili hili lifanyike inabidi liwe organised vizuri. Huwezi kukurupuka na kuwaambia watu waingie mtaani bila organisation nzuriWhy out of 60 mil people hampati hata watu laki 5 wa kuingia mtaani? Maana watu laki 5 wakizama mtaani mnaweza kushinikiza lolote mnalotaka na serikali ikafanya
Eti nae ni jasus[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
NAONA KUNA JAMBO CHADEMA LINATAFUTA KWA PUMZI ZOTE.Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam .
muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu
MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
wote mnakaribishwa
======
Mbowe hajulikani alipo , yasemekana ameondolewa Mkoani Mwanza , na kufichwa kusikojulikana , haijulikani kama yuko hai au la
Imeagizwa kila Mwanachadema kumtafuta Mwenyekiti wao popote na kwa kutumia njia zozote zitakazoonekana zinafaa.
Ndio sijui sasa hao serikali na hiyo michezo yao na hao chadema ila kiukweli sioni maana yeyote ya kuangaika na chadema, mfano ile mwaka jana wakati Lissu anaingia nchini huku akiwa kajiandaa kabisa kukamatwa na polisi ila serikali ikampotezea ikamuacha afanye mambo yake ilikuwa fresh sana unaepuka vitu vya kijinga jinga kama hivi. Sasa hivi tumefikia kwamba mwanasiasa wa upinzani kama hujawahi kwenda jela unaonekana haujaiva bado,yani ujinga ujinga tu mtupu.kwanini wasipuuzwe tu
Uwezo wako wa kufikiri ni duni sana, sijui unawafundisha nini watoto wako, au ndio unawapeleka tuition.Bila vitendo kama hivi Chadema wanajiona hawajafanya kabisa siasa Tanzania, hizi purukushani na serikali iwe kwa kukusudia au bila kukusudia ndio mambo ambayo Chadema huwafanya waone wanafanya siasa na ndio huwapa umaarufu.
Hawana tu akili tuna siasa za kupumbavu, hoja ya katiba inayojadiliwa sana humu mitandaoni tu huko mitaani watu wengi hawana uelewa kabisa kuhusu katiba, sasa sijui hao ccm wanazuia nini.CCM watafanya kila linalowezekana kuiua hoja ya katiba mpya - wacha tuone kama wataweza.
Mkapa. Kikwete na Magufuli wote walikuwa wanakimbizana na wapinzani. Na haikuwaathiri chochote. This is not about Mama Samia atafanya nini bali nini mtamzuwiaje kufanya atakacho. Majuzi Mdude alisema "atamnyoa kwa wembe uleule" what happened? πSamia anaingia katika mtego wa CHADEMA
CHADEMA wana uwezo wa kumfanya kila siku akimbizane nao na kujikuta anashindwa kutekeleza ajenda zake, hii itasababisha wananchi wamuone hana agenda na hivyo kuathiri kwa kiwango kikubwa utawala wake
Kama anatafakari vyema yeye inabidi atawale kwa mujibu wa sheria tu, alinde haki za wote, nje ya hapo miaka yake mnne itaisha huku anakimbizana mitaani na CHADEMA
Sawa ndio uwezo wangu huo hatuwezi kuwa sawa.Uwezo wako wa kufikiri ni duni sana, sijui unawafundisha nini watoto wako, au ndio unawapeleka tuition.
Hebu mtuache kidogo tuko busy na mambo ya msingiKatibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam .
muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu
MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
wote mnakaribishwa
======
Mbowe hajulikani alipo , yasemekana ameondolewa Mkoani Mwanza , na kufichwa kusikojulikana , haijulikani kama yuko hai au la
Imeagizwa kila Mwanachadema kumtafuta Mwenyekiti wao popote na kwa kutumia njia zozote zitakazoonekana zinafaa.
Mwisho wa siku raia hao wanaenda kuipigia kura ccm na kura zengine zinaibwa ccm inaendelea kuwa madarakani, sasa hapo Chadema wanafaidika nini na hizi hiyo michezo au ndio kuwa maarufu tu?Samia anaingia katika mtego wa CHADEMA
CHADEMA wana uwezo wa kumfanya kila siku akimbizane nao na kujikuta anashindwa kutekeleza ajenda zake, hii itasababisha wananchi wamuone hana agenda na hivyo kuathiri kwa kiwango kikubwa utawala wake
Kama anatafakari vyema yeye inabidi atawale kwa mujibu wa sheria tu, alinde haki za wote, nje ya hapo miaka yake mnne itaisha huku anakimbizana mitaani na CHADEMA
Nimecheka Sana ππππππππEti nae ni jasus
Kaandamane si loketo kasema andamaneniSafi Sana ,katibu toa ,mwongozo, Basi wasibembelezwe hao wamezoea , ila katibu umechelewa Sana Yani that's KWA tukio la leo nimejipima siwezi uongozi, Mambo ya ajabu Kama aya, mbona uvumilivu hua wanishinda
Mr amsterdam kawambia waandamane lkn wamekaa kimya tuHalafu utawasikia kitanuka, kitanuka, lakini wanabaki humuhumu JF mtaani hawaonekani kukinukisha! Wajinga sana hawa watu!
Mr belgiji kawambia andamaneni mbona hamuendi?Nyie Mbwa wa CCM mnaotumia Jeshi la Polisi this time hamtachomoka nawahakikishieni
Mbona mbeba maono aliwakimbiza kikamanda hadi mkakimbia na maboxi ya kura ilikuwaje ndg?Kuandika nyuma ya keyboard rahisi sana mzee, ishu ni kuingia field, hapo ndipo CDM wanafeli, nadhani ukiacha mitandaoni support yenu mtaani siyo kubwa sana! CCM wanawazidi sana kwenye kitengo cha propaganda na uongo
Mbeba maono naye muoga sana, wapigania haki wa kweli huwa hawakimbii nchi zao, Ref Mandela, Nyerere, Mugabe etcMbona mbeba maono aliwakimbiza kikamanda hadi mkakimbia na maboxi ya kura ilikuwaje ndg?