CHADEMA yaitisha Mkutano wa dharula na waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya chama Mchana huu

Atakuwa kashatangulizwa

USSR
 
Samia kuchagua kuzinguana. Huo ni uchaguzi wake tunaukataa vipi?

Ila ajue wazi kuwa kutakuwa na maumivu pande zote, kwa maana zinguaji hazijawahi kuwa na hati miliki ya mtu.
 
Wake za watu kutongoza imejulikana jihadhari utaishia shimo la tewa
 
asiwe hai? wee ndo itakuwa mwisho wa ccm TZ yani kitaumana, na ndo itakuwa mwisho wa upole wa watz.
 
ungezijua sababu za watu hao kurudi ccm bila shaka ungejificha kwa aibu
Kwani mliwafanyaje? Mliwafanya kama mlivyowafanya wale 19? Bahati mbaya kwa tatizo hili baya la korona ya delta kikao cha baraza kuu lenu hakitawezekana hadi janga hili la korona litakapoisha mwaka 2025. Poleni sana. Ni mapenzi ya Mungu! Haiwezi ikawa buisiness as usual wakati kuna janga la delta linalotutaka tusipumuliane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…