CHADEMA yajitenga na kauli za BAZECHA kuhusu hoja za udini

CHADEMA yajitenga na kauli za BAZECHA kuhusu hoja za udini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Tunajitenga na kauli zote zilizotolewa zenye viashiria vya udini kwani huo sio msimamo wa Chama na zinapaswa kupingwa na kila mtanzania bila kujali dini, kabila au mahali alipotoka.

20241002_131217.jpg
 
Rais Samia aliposema hawa watu wanapanga kuleta machafuko watu walibisha sana, tusubiri tuone maana hao wazee ni wazima wa afya hawajachanyikiwa, kusema hayo waliyosema kuna baraka zimetolewa
 
Huyu ni mwenyekiti wa baraza la wazee CHADEMA znz. Naamini alaiyoyasema ndo misimamo na imani yao pamoja na matarajio wazee wa CDM hakukurupuka bali aliyatoa ya moyon. Hii ndo namna wenzetu wanavyofikiri na ndo msingi wa siasa zao ktk udini,ukanda n.k
 
Attachments

  • Boniface_Mwabukusi_20241002_1_new.mp4
    5.6 MB
Kila siku huwa nawaambia, Waislamu wengi wana akili sana.
 
Rais Samia aliposema hawa watu wanapanga kuleta machafuko watu walibisha sana, tusubiri tuone maana hao wazee ni wazima wa afya hawajachanyikiwa, kusema hayo waliyosema kuna baraka zimetolewa
Naona baada ya maandamano kubuma huku Bara sasa wanatafuta pakutokea huko Zenji!!
 
Kwenye Tanzania hii ya leo, kumlaumu huyu mzee ni kujifanya wewe unaye laumu kuwa mnafiki tu.
 
Back
Top Bottom