CHADEMA yajitenga na kauli za BAZECHA kuhusu hoja za udini

CHADEMA yajitenga na kauli za BAZECHA kuhusu hoja za udini

Hii ndio tofauti kubwa kati ya CHADEMA na chama chawala.. Kiongozi katoa boko haraka sana chama kimetoa tamko rasmi tena kwa maandishi.. Ingekuwa mbogamboga kila kiongozi angetoka na tamko lake na yote yangekinzana
Ila watu bado mna imani na vyama vya siasa tu?
 
Back
Top Bottom