Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kakurupuka kuandika.......Hiyo taarifa umeielewa lakini?

Hii ndio tofauti kubwa kati ya CHADEMA na chama chawala.. Kiongozi katoa boko haraka sana chama kimetoa tamko rasmi tena kwa maandishi.. Ingekuwa mbogamboga kila kiongozi angetoka na tamko lake naIngekuwa kafa- wangeomboleza kwa maandamano- huyo ni mtu wao na hilo na lao
Vikundi vya wahuni ni changamoto sanaHaya
Kwani kimetokea nini? 🐼
Opposite!.Kila siku huwa nawaambia, Waislamu wengi wana akili sana.
Ndiyo watu wanasema CCM akili ndogo sana, badala ya kukemea hayo nyie mmekaa kukaza fuvu bila kujua athari ya hayo mnadhani ni swala la chademaNaona baada ya maandamano kubuma huku Bara sasa wanatafuta pakutokea huko Zenji!!
Hizo ni kauli za kichocheziLakini Wazanzibari hawajihesabu kuwa ni Watanzania. Vilevile Zanzibar ni nchi ya Kiislamu. Sasa kuna ajabu gani kwa huyo Mzee wa Kizanzibari kutoa kauli kwamba Zanzibar ijiunge na OIC? Na kuna ajabu gani Wazanzibari wakifurahia na kukumbusha kwamba tuna Raisi Mzanzibari?
Tunajitenga na kauli zote zilizotolewa zenye viashiria vya udini kwani huo sio msimamo wa Chama na zinapaswa kupingwa na kila mtanzania bila kujali dini, kabila au mahali alipotoka.
View attachment 3113070
Mfano wa Waumini katika kuhurumiana kwao, kupendana kwao na kushikamana kwao ni kama mwili mmoja; inapoumwa sehemu moja ya mwili, mwili mzima huugulia kwa homa na kukosa usingizi."Hizo ni kauli za kichochezi
Hizo ni kauli za kichochezi
Ingekuwa kafa- wangeomboleza kwa maandamano- huyo ni mtu wao na hilo na lao
Kwa kuwa ni muslama mnajitokeza kupinga ,vipi ubaguzi wa mzee mbowe na Lissu hamkuuona?Tunajitenga na kauli zote zilizotolewa zenye viashiria vya udini kwani huo sio msimamo wa Chama na zinapaswa kupingwa na kila mtanzania bila kujali dini, kabila au mahali alipotoka.
View attachment 3113070
Ndio aina ya viongozi waliopo,embu fikiria hizo ni busara za mzee toka cdmHuyu mzee hafai kuwa chadema.
Upe muda wakati.. CHADEMA ni taasisi inayoongozwa na taratibu kanuni na sheria.. Watu hukosea.. Huyu kakosea na chama kimetoa tamko rasmi tena kwa maandishi.. Hivi CCM wangeweza kweli kufanya hivi? Kuwa mkweliDah! Kama wazee wa CHADEMA wanaongea uharo itakuwaje kwa BAVICHA? Nilishasema ukimtoa Mbowe hakuna mwanachadema mwingine mwenye busara na hekima. Inasikitisha sana wazee wanaotegemewa na chama kwa busara kuja na matamko ya kichochezi. WANANCHI TUKIADHIBU CHADEMA KWENYE SANDUKU LA KURA.
Upe muda wakati.. CHADEMA ni taasisi inayoongozwa na taratibu kanuni na sheria.. Watu hukosea.. Huyu kakosea na chama kimetoa tamko rasmi tena kwa maandishi.. Hivi CCM wangeweza kweli kufanya hivi? Kuwa mkweliDah! Kama wazee wa CHADEMA wanaongea uharo itakuwaje kwa BAVICHA? Nilishasema ukimtoa Mbowe hakuna mwanachadema mwingine mwenye busara na hekima. Inasikitisha sana wazee wanaotegemewa na chama kwa busara kuja na matamko ya kichochezi. WANANCHI TUKIADHIBU CHADEMA KWENYE SANDUKU LA KURA.
Ndani ya CHADEMA hatuangalii imani ya mtuKwa kuwa ni muslama mnajitokeza kupinga ,vipi ubaguzi wa mzee mbowe na Lissu hamkuuona?
Anaweza kuwa sahihi sana lakini kwenye mazingirw yasiyo sahihiLakini Wazanzibari hawajihesabu kuwa ni Watanzania. Vilevile Zanzibar ni nchi ya Kiislamu. Sasa kuna ajabu gani kwa huyo Mzee wa Kizanzibari kutoa kauli kwamba Zanzibar ijiunge na OIC? Na kuna ajabu gani Wazanzibari wakifurahia na kukumbusha kwamba tuna Raisi Mzanzibari?