Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
“Kuna uvamizi usio rafiki uliofanyika muda sio mrefu katika ofisi za Jamii Forums Mikocheni, Jijini Dar es Salaam, wakinitafuta mimi.”
Unifahamu ila utajuta pale mwenge wewe watoto wa kuvaa masuti ukawa polisi
He even has a look of a hardcore criminal.Dogo baada ya kujua kasoma maeneo ambayo code zake kuwa tunajua imani yakeView attachment 3466139
Link yanke mpaka naogopa haka katoto. Mpaka naogopaHe even has a look of a hardcore criminal.
Muonekano wa wala UngaDogo baada ya kujua kasoma maeneo ambayo code zake kuwa tunajua imani yakeView attachment 3466139
Kweli mi Dar mgeniDogo baada ya kujua kasoma maeneo ambayo code zake kuwa tunajua imani yakeView attachment 3466139
This idiot shouldn’t be speaking for the government. Hiyo barua ina tani ngapi mpaka ipelekwe na kundi la watu? It takes only one messenger to deliver a mail.Msemaji wa serikali anasema mamlaka za serikali zilikuwa zinapeleka barua.
Na mwisho amemtaka Maxence Melo kuacha uzushi unaoweza kuzuia tahaduki.
U communist ni mbaya sana ktk jamii inayojielewa.Chadema tunalaani kwa nguvu zote tukio la uvamizi uliofanywa leo tarehe 05 Septemba 2025 katika ofisi za Jamii Forums, zilizopo Mikocheni, Jijini Dar es Salaam, na watu walioidai kuwa wanatoka katika mamlaka za usalama. Tukio hili linaashiria kukandamizwa kwa uhuru wa habari, kuminya uhuru wa kujieleza, na kuhatarisha usalama wa wananchi, kinyume kabisa na misingi ya demokrasia, utawala wa sheria, na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taarifa za awali zinaonyesha kuwa watu hao walidai kutaka kompyuta za ofisi pamoja na kumtafuta Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Bwana Maxence Melo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bwana Maxence Melo amethibitisha tukio hili na kueleza:
Tunatoa wito kwa:
Soma Pia: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
- Serikali na vyombo husika kutoa ufafanuzi wa haraka juu ya tukio hili na hatua zinazochukuliwa ili kulinda haki na usalama wa wahusika.
- Vyombo vya usalama kuhakikisha vinazingatia taratibu na sheria katika utekelezaji wa majukumu yao ili kujenga imani kwa wananchi.
- Wananchi na wadau wa habari kusimama kidete kutetea na kulinda uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza.
Chadema tutaendelea kufuatilia kwa karibu mwenendo wa tukio hili na kutoa taarifa zaidi kadri tunavyozipata.
View attachment 3466137
Amesahau alipotoka anahisi mzazi wake atakuwa kiongozi mileleDogo baada ya kujua kasoma maeneo ambayo code zake kuwa tunajua imani yakeView attachment 3466139
Chadema tunalaani kwa nguvu zote tukio la uvamizi uliofanywa leo tarehe 05 Septemba 2025 katika ofisi za Jamii Forums, zilizopo Mikocheni, Jijini Dar es Salaam, na watu walioidai kuwa wanatoka katika mamlaka za usalama. Tukio hili linaashiria kukandamizwa kwa uhuru wa habari, kuminya uhuru wa kujieleza, na kuhatarisha usalama wa wananchi, kinyume kabisa na misingi ya demokrasia, utawala wa sheria, na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taarifa za awali zinaonyesha kuwa watu hao walidai kutaka kompyuta za ofisi pamoja na kumtafuta Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Bwana Maxence Melo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bwana Maxence Melo amethibitisha tukio hili na kueleza:
Tunatoa wito kwa:
Soma Pia: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
- Serikali na vyombo husika kutoa ufafanuzi wa haraka juu ya tukio hili na hatua zinazochukuliwa ili kulinda haki na usalama wa wahusika.
- Vyombo vya usalama kuhakikisha vinazingatia taratibu na sheria katika utekelezaji wa majukumu yao ili kujenga imani kwa wananchi.
- Wananchi na wadau wa habari kusimama kidete kutetea na kulinda uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza.
Chadema tutaendelea kufuatilia kwa karibu mwenendo wa tukio hili na kutoa taarifa zaidi kadri tunavyozipata.
View attachment 3466137
Hii point!Msemaji wa serikali anasema mamlaka za serikali zilikuwa zinapeleka barua.
Na mwisho amemtaka Maxence Melo kuacha uzushi unaoweza kuzuia tahaduki.