CHADEMA Yalaani Uvamizi wa Ofisi za Jamii Forums, Yataka Ufafanuzi wa Serikali

CHADEMA Yalaani Uvamizi wa Ofisi za Jamii Forums, Yataka Ufafanuzi wa Serikali

Imeelezwa kuwa na Katekista alikuwa anamtembelea Msharika wake, kwa nini uhisi ni shetani? Si ni kutoa ushirikiano tu? Unajiuliz iweje mtu AVAMIE halafu AOMBE kupewa kompyuta? Ni wajibu wa wa Msaliti kutukana na jambazi kukimbia; wajibu wa Raia mwema ni kutoa ushirikiano. Mara nyingi matokeo huwa ni chanya kwa pande zote. Tutajuaje sisi, labda Luhagampina kajificha hapo, au Polepole?
Mzee Kibao alionyesha ushirikiano kwenye basi mbele ya abiria zaidi ya 50, kesho yake akaokotwa ameuawa na hana macho. Wakati mwingine hata kama mpo upande wa wauaji bora mkakaa kimya tu nayo ni busara. Kwenye comment yako umetetea UPUMBAVU.
 
Back
Top Bottom