Imeelezwa kuwa na Katekista alikuwa anamtembelea Msharika wake, kwa nini uhisi ni shetani? Si ni kutoa ushirikiano tu? Unajiuliz iweje mtu AVAMIE halafu AOMBE kupewa kompyuta? Ni wajibu wa wa Msaliti kutukana na jambazi kukimbia; wajibu wa Raia mwema ni kutoa ushirikiano. Mara nyingi matokeo huwa ni chanya kwa pande zote. Tutajuaje sisi, labda Luhagampina kajificha hapo, au Polepole?