PreGE2025 CHADEMA yamburuza Msajili wa Vyama vya Siasa Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nadhani hili ni jambo jema sana kwa kweli, though mahakama zetu ndio zile zile, kesi ya Nyani unampelekea Ngedere
 
Kwa iyo tukusaidie nini sasa, alafu jitahidi kulipia kadi ya chadema
 
Hao jamaa wanabisha hadi kwenda chooni wakibanwa nya ni wapuuzwa
 
Sasa wewe mgogo unajua sheria , labda sheria ya mbukwenyi kwa mdala wako, wadodo wako tu ,tofauti na hilo huna mbwai ? Huna dodose we mgogo
Mgogo mwenye akili ni baba yako aliyeitwa Matonya
 
Utaratibu wa sasa wa kesi mahakamani ni first in first out, hiyo itaisha 2039.

Anyway, hatuna hela za kuitisha kikao, labda Mbowe atukopeshe. Ngoja tutumie mifumo ya mahakama kuvuta muda mpaka tupate fedha
Mwaka huu lazima uwehuke.

Gwajima mmoja anawatoa kijasho.

Project yenu ya CHAUMMA imekataliwa mnabaki kuzoa hata ng'ombe kwenda nao kwenye mikutano.

Bado huku mama yenu hajui mustakabali wake ni nyundo kuanzia Afrika Mashariki mpaka Ulaya.
 
Jambo jema, mahakamani mbivu na mbichi zitajulikana.

Nasubiri kuona mashahidi na vielelezo vya kesi vitakavyowasilishwa na CDM pamoja na vile vya mshtakiwa (msajili wa chama) ambavyo vilimfanya achukue maamuzi yale.

Na kama wakishinda, msajili aondolewe kwenye nafasi yake.
 
Kwa kweli Samia ndio maana anakwama
Yaani aina ya watu wanaoitetea CCM uelewa wao wa mambo unasikitisha sana.
Unashindwa kuelewa ni maana ya kwenda mahakamani nini?
Amekwama wapi na Kwa lipi?

Tulikubaliana hamuendi popote ,hamtaki ruzuku mna tonetone na mkafikia mbali kwamba alitaka afute chama Leo vipi mnakula uharo wenu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…