PreGE2025 CHADEMA yamburuza Msajili wa Vyama vya Siasa Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
My Take
Njaa ni mbaya sana ila Kuna nyumbu wanatumiwa kutengenezea maisha wengine.😂😂😂

Tulikubaliana tonetone inatosha ,mahakamani mnaenda kudai ruzuku ya nini Sasa?

Msiposhiriki uchaguzi itakuaje ? 😬😬😬😬👇👇

Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kinakwenda mahakamani kwa sababu Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeamua kuzuia ruzuku ya chama hicho.

Heche ameeleza hayo leo Jumatano Juni 4,2025 wakati akisoma maazimio ya kamati kuu ya chama hicho iliyoketi jana kujadili barua ya Ofisi ya Msajili wa Vyama Siasa.

“Sheria ya Vyama vya Siasa anayoisimamia Msajili kifungu cha 18 (6), msajili ana uwezo wa kuzuia ruzuku ya vyama au kwa chama kingine chochote pale ambapo kuna dosari ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu ya Serikali (CAG)
“Sasa kama tungekuwa na hati mbaya au… kwa mujibu wa kifungu cha 18 (6) hapo msajili angepata mamlaka ya kuzuia ruzuku, kwa kutuandikia barua na kuonyesha sababu,” amesema Heche.

Hata hivyo, Heche amedai Msajili ameamua kujifanyia kwa kuchukua uamuzi huo, akisema Chadema kinakwenda mahakamani kupingia hatua hiyo.

View: https://www.instagram.com/reel/DKewBHQixIf/?igsh=MTF6d2xpbTFldWNhcw==

Shetani Leo unakufa usingizini. Jiandae kwenda motoni. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
My Take
Njaa ni mbaya sana ila Kuna nyumbu wanatumiwa kutengenezea maisha wengine.😂😂😂

Tulikubaliana tonetone inatosha ,mahakamani mnaenda kudai ruzuku ya nini Sasa?

Msiposhiriki uchaguzi itakuaje ? 😬😬😬😬👇👇

Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kinakwenda mahakamani kwa sababu Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeamua kuzuia ruzuku ya chama hicho.

Heche ameeleza hayo leo Jumatano Juni 4,2025 wakati akisoma maazimio ya kamati kuu ya chama hicho iliyoketi jana kujadili barua ya Ofisi ya Msajili wa Vyama Siasa.

“Sheria ya Vyama vya Siasa anayoisimamia Msajili kifungu cha 18 (6), msajili ana uwezo wa kuzuia ruzuku ya vyama au kwa chama kingine chochote pale ambapo kuna dosari ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu ya Serikali (CAG)

Soma Pia: Msajili asitisha ruzuku CHADEMA, atishia kusimamisha shughuli za chama wakiendelea kukaidi na kuwatambua viongozi

“Sasa kama tungekuwa na hati mbaya au… kwa mujibu wa kifungu cha 18 (6) hapo msajili angepata mamlaka ya kuzuia ruzuku, kwa kutuandikia barua na kuonyesha sababu,” amesema Heche.

Hata hivyo, Heche amedai Msajili ameamua kujifanyia kwa kuchukua uamuzi huo, akisema Chadema kinakwenda mahakamani kupingia hatua hiyo.
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Acha roho mbaya fisi,sungura na uwezo wake mdogo anaroho nzuri kuliko wewe mwenye ubavu wa kupora hata windo la chui ,ama masalia ya windo la simba au hata walao salio la windo la tai.!
 
Pole Kwa maumivu ya utapeli
 
Hakuna Haki bila wajibu

Acheni utapeli 😁😁
Mkuu watu wanakwenda mahakamani kwasababu ya Msajili wa vyama hana mamlaka ya kuwazuia hao viongozi na mengine mengi.
Hivi ukiwa huna shida na barabara ya geti dogo ya kuingia kwako kwasababu unatumia geti kubwa ila mtu akaja akaiziba utaachq kuishughulikia kisa huitumii?
Hiyo ni alarm kuwa anaweza kuja kuifunga ata hiyo kubwa unayoitumia.
Usipende sana kutetea upuuuzi utakuwa mpuuzi zaidi.
 
Kile kikapu anachotembea nacho Heche kwenye mikutano sikuhizi hakifikishi hata laki 1 lazima tudai Ruzuku ni haki yetu
Kwani ruzuku si mwisho bunge likivunjwa mwezi huu,au utaratibu ukoje?..
 
Back
Top Bottom