CHADEMA yampa siku tatu Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa awe amewajibika

CHADEMA yampa siku tatu Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa awe amewajibika

Jibu swali kapuku weee !
Waziri mkuu anapangiwa Majukumu na Rais

Kwa mfano Mkapa, Magufuli na hata Rais Samia Tamisemi wanasimama Wao wenyewe

Kikwete aliwapa Mawaziri Wakuu Lowassa na baadae Pinda wasimamie Tamisemi

Nk....nk
 
Chadema wanataka PM ajiuzulu wakiwa na maana kwamba wameridhishwa na utendaji kazi wa Rais?

Bahati nzuri huyu Mnyika ndie aliwahi kumuita JK dhaifu, hebu atuambie, mpaka sasa hajaona viashiria vyovyote vya udhaifu kwa huyu aliyepo?

Anyway, ngoja kwanza niweke kiporo maoni mengine nikiwasubiri wamalizie huo uchambuzi wao, siku wakimalizia kiporo kilichobaki naamini nitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutia neno katika hili.
Mbona amesema Rais asikwepe jukumu lake kama kiongozi wa nchi kuchukua hatua hata kama ripoti itajadiliwa bungeni

Upande wa bunge pia kawalaumu kutokua serious katika kuisimamia serikali.

Na upande wa serikali bungeni ndio kasema Kassim apishe kama sehemu ya collective responsibility.

Tatizo mtoa mada kaleta habari nusu na wote humu mnasema why hamtaji Samia?? Come on
 
chadema bana ujue umaweza kusikitika unajiuliza hawa watu ata kufagia uwanja wameshindwa ndio dola wapewe
 
Rais Samia anajua sana siasa,sio mbabe ila anaogogwa sana na Wapinzani,mtangulizi wake alikuwa mbabe lakini Wapinzani walimchana tu,ingekuwa awamu ya tano huu msalaba angeubeba Magumu na sio Majaliwa
 
Rais Samia anajua sana siasa,sio mbabe ila anaogogwa sana na Wapinzani,mtangulizi wake alikuwa mbabe lakini Wapinzani walimchana tu,ingekuwa awamu ya tano huu msalaba angeubeba Magumu na sio Majaliwa
Majukumu ya waziri mkuu ni yapi ?
 
Chadema , kimetoa muda wa siku 3 kuanzia leo hadi 13/4/2023 kwa Waziri Mkuu Mh Kasimu Majaliwa awe amewajibika kutoka na ubadhirifu wa kutisha ambao umeanikwa na ripoti ya CAG .
Hivi asipojibu watamfanya nini?
vitu vingine ni kuhadaa tu wananchi!!
 
Majukumu ya Waziri Mkuu ni yapi ? au kwa kurahisisha , unajua kwanini Rais wa Tanzania anateua Waziri Mkuu ?
Kwani Mteuwaji wa Waziri Mkuu yeye anasemaje!!!??? Kama Mteuwaji karidhika nae, CDM wao kinawauma Nini!!?
 
Back
Top Bottom