CHADEMA yampongeza Rais mpya wa Zambia, Hakainde Hichilema kwa ushindi wa kishindo

CHADEMA yampongeza Rais mpya wa Zambia, Hakainde Hichilema kwa ushindi wa kishindo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Siku zote kukiwa na Katiba ya Wananchi na Tume huru ya Uchaguzi kila kitu kitafanyika kama watavyotaka wenye nchi ambao ni wananchi wenyewe .

Hiki kilichofanyika Zambia ndio kimepelekea CHADEMA kuamua kummiminia pongezi Rais Mteule Haikainde Hichilema

Hongera_Rais_@hhichilema_%0AHongera_Zambia.jpg

A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Hiyo itasaidia mbowe kushinda kesi ya ugaidi?mnajindanganya maana yeye akitoka hapo utasikia anaziara ya kikazi Tanzania anakuja kukutana na rais mwenzake wanajadili ya kimataifa ,nyie endelezeni ugaidi labda utawatoa

USSR
 
Sisi wapigania uhuru tuna kitu kimoja tu , Nchi moja inapokombolewa tunafurahi pamoja
hivi kwani kwa msemo huo kila chama kinachotawala nchi huwa ni maadaui wenu nyie na kwamba chama pinzani ndiyo bora kwenu nyie?
 
Hiyo itasaidia mbowe kushinda kesi ya ugaidi?mnajindanganya maana yeye akitoka hapo utasikia anaziara ya kikazi Tanzania anakuja kukutana na rais mwenzake wanajadili ya kimataifa ,nyie endelezeni ugaidi labda utawatoa

USSR
2017 Hichilema alikamatwa kwa tuhuma za kutengenezwa maabara za uhaini na ugaidi , alikaa jela kwa zaidi ya miezi mitatu
 
Upinzani sio uadui, ila Upinzani wa Tanzania umejitengenezea uadui na chama tawala na vyama vingine vya Upinzani vinavyoamini upinzani wa vyama nchini si uadui
 
Hiyo itasaidia mbowe kushinda kesi ya ugaidi?mnajindanganya maana yeye akitoka hapo utasikia anaziara ya kikazi Tanzania anakuja kukutana na rais mwenzake wanajadili ya kimataifa ,nyie endelezeni ugaidi labda utawatoa

USSR
Ussr unatakiwa kujitafakari sana! Kama vile hamnazo kabisa. Unafurahia watu kudhulumiwa!! One day yes. Hata mungu mtu kaliwa na funza sembuse wewe. No body to stay forever! Hata udhulumuni roho za wangati still utaenda. Msikie msiba, makonda na sabaya.
 
Achen tuwe na Tume Huru ya uchaguz kama atuwashindi mchana kweupee mbn mnagoma kuweka tume huru kwa nn amjiamini ndo mana Mr boya iboya
yaani mtaishia kuwa wapinzani tu miaka nenda rudi hamjajipanga kuchukua nchi
 
View attachment 1894507

Siku zote kukiwa na Katiba ya Wananchi na Tume huru ya Uchaguzi kila kitu kitafanyika kama watavyotaka wenye nchi ambao ni wananchi wenyewe .

Hiki kilichofanyika Zambia ndio kimepelekea CHADEMA kuamua kummiminia pongezi Rais Mteule Haikainde Hichilema

View attachment 1894511
Acheni kujifariji. Huyu kwa sasa ni Rais na Chama chake ni chama tawala, kama CCM ilivyo hapa Tanzania. Wenzi wenu ni Edgar Lungu na Chama chake ambao kwa sasa ni wapinzani, ndiyo mko nao league moja. CCM wanayo haki ya kumpongeza Rais huyu mchsgulowa kwa Sababu ameingia rasmi league ya watawala.
 
Back
Top Bottom