Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sisi wapigania uhuru tuna kitu kimoja tu , Nchi moja inapokombolewa tunafurahi pamojaBasi hapo unajisikia fuleshi!
hivi kwani kwa msemo huo kila chama kinachotawala nchi huwa ni maadaui wenu nyie na kwamba chama pinzani ndiyo bora kwenu nyie?Sisi wapigania uhuru tuna kitu kimoja tu , Nchi moja inapokombolewa tunafurahi pamoja
2017 Hichilema alikamatwa kwa tuhuma za kutengenezwa maabara za uhaini na ugaidi , alikaa jela kwa zaidi ya miezi mitatuHiyo itasaidia mbowe kushinda kesi ya ugaidi?mnajindanganya maana yeye akitoka hapo utasikia anaziara ya kikazi Tanzania anakuja kukutana na rais mwenzake wanajadili ya kimataifa ,nyie endelezeni ugaidi labda utawatoa
USSR
jipeni moyo mbowe nae sikumoja atakuja kushinda URAIS2017 Hichilema alikamatwa kwa tuhuma za kutengenezwa maabara za uhaini na ugaidi , alikaa jela kwa zaidi ya miezi mitatu
Zambia haikuwa inatawaliwa na UNIP kama ilivyo CCM ujueSisi wapigania uhuru tuna kitu kimoja tu , Nchi moja inapokombolewa tunafurahi pamoja
Ussr unatakiwa kujitafakari sana! Kama vile hamnazo kabisa. Unafurahia watu kudhulumiwa!! One day yes. Hata mungu mtu kaliwa na funza sembuse wewe. No body to stay forever! Hata udhulumuni roho za wangati still utaenda. Msikie msiba, makonda na sabaya.Hiyo itasaidia mbowe kushinda kesi ya ugaidi?mnajindanganya maana yeye akitoka hapo utasikia anaziara ya kikazi Tanzania anakuja kukutana na rais mwenzake wanajadili ya kimataifa ,nyie endelezeni ugaidi labda utawatoa
USSR
Achen tuwe na Tume Huru ya uchaguz kama atuwashindi mchana kweupee mbn mnagoma kuweka tume huru kwa nn amjiamini ndo mana Mr boya iboyajipeni moyo mbowe nae sikumoja atakuja kushinda URAIS
yaani mtaishia kuwa wapinzani tu miaka nenda rudi hamjajipanga kuchukua nchiAchen tuwe na Tume Huru ya uchaguz kama atuwashindi mchana kweupee mbn mnagoma kuweka tume huru kwa nn amjiamini ndo mana Mr boya iboya
Wew ni mpumbavu utakufa kwa roho yako mbayaUchaguzi umefanyika hata kunguni hajauawa lakini sehemu nyingine wameua watu kibao halafu mtu anakaa madarakani miezi minne anakufa kwa laana za watu.
Acheni kujifariji. Huyu kwa sasa ni Rais na Chama chake ni chama tawala, kama CCM ilivyo hapa Tanzania. Wenzi wenu ni Edgar Lungu na Chama chake ambao kwa sasa ni wapinzani, ndiyo mko nao league moja. CCM wanayo haki ya kumpongeza Rais huyu mchsgulowa kwa Sababu ameingia rasmi league ya watawala.View attachment 1894507
Siku zote kukiwa na Katiba ya Wananchi na Tume huru ya Uchaguzi kila kitu kitafanyika kama watavyotaka wenye nchi ambao ni wananchi wenyewe .
Hiki kilichofanyika Zambia ndio kimepelekea CHADEMA kuamua kummiminia pongezi Rais Mteule Haikainde Hichilema
View attachment 1894511