CHADEMA yampongeza Rais Samia kwa ongezeko la Mshahara

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.
IMG-20220515-WA0148.jpg

My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
 
Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154
Kwani kosa likwapi? Wakipongeza ni tatizo wakikosoa mnawaita Pinga Pinga!! Mnataka nini??

CHADEMA ilipiga kelele sana kuhusu watumishi kutopandishiwa mishahara ingekua kitu Cha ajabu Leo hii mshahara uongezwe afu wapinge tena!! Khaaaaa
 
Msianze kuchomekea bana,lini mliwahi kufika kwenye mei mosi ?
 
Kwani kosa likwapi? Wakipongeza ni tatizo wakikosoa mnawaita Pinga Pinga!! Mnataka nini??

CHADEMA ilipiga kelele sana kuhusu watumishi kutopandishiwa mishahara ingekua kitu Cha ajabu Leo hii mshahara uongezwe afu wapinge tena!! Khaaaaa
nI FAKE BANA kwani lazima kila mtu asifie? kila mtu afanye kazi yake ebooo.....achana na hayo machawa
Screenshot 2022-05-15 at 21.49.29.png
 
Chuki yenu kwa Mama haitowasaidia kitu yaani mnatamani afeli mpate Cha kusema!!!

Mnavyo mshambulia ndio mnawapa CHADEMA njia nyeupe 2025. Mnadhani mnamkomoa nani zaidi ya nyie wenyewe?

Uchaguzi wa 2025 utakua kama wa 2010!! Mtapoteana kabisa
Mama ni ccm na sisi ni ccm chuki kwa mama itoke wapi?
Au unafikiri ukimsifia mama atahamia Chadema?
 
Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154

My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
FAKE NEWS
 
Hamna jema mjue nyie.. Tukikaa kimya mnalalamika tukiongea mnachonga sijui mkoje huko upstairs kwenu?
By the way umecheki genuinity ya hiyo barua?
 
Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154

My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
Kumbe bado upumbavu wako haujaisha, tutakurejesha tena kwa mganga. Hakika!
 
Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154

My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
Samia kachapa pesa chungunzima kwa ajili ya kupandisha mishahara pesa mpya zimejaa mitaani. Nakionq kifo cha shilingi yetu kama kipindi cha rais mwinyi.
 
Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154

My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
Wanajisifia eti juhudi zao hawa vibwengo wameishiwa pumzi Mama anaupiga mwingi
 
Chuki yenu kwa Mama haitowasaidia kitu yaani mnatamani afeli mpate Cha kusema!!!

Mnavyo mshambulia ndio mnawapa CHADEMA njia nyeupe 2025. Mnadhani mnamkomoa nani zaidi ya nyie wenyewe?

Uchaguzi wa 2025 utakua kama wa 2010!! Mtapoteana kabisa
Afeli mara mara ngapi? Au unamaanisha ya kuanguka na kudanji?
 
Hilo genge kwa kujikombakomba halijambo. Chama la magaidi.
 
Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154

My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
Mch.Msigwa aliwahi kuongea bungeni na mwisho alijumlisha kuwa Watanzania hatuna kitu mifukoni.Tumepigika wakiwemo watumishi.
 
Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154

My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
Hapo pa "aendelee kufuata katiba kama ilivyo" nina wasiwasi napo.
Vipi mishahara kwa watumishi wa mashirika.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom