CHADEMA yampongeza Rais Samia kwa ongezeko la Mshahara

CHADEMA yampongeza Rais Samia kwa ongezeko la Mshahara

Afeli mara mara ngapi? Au unamaanisha ya kuanguka na kudanji?
Si polepole alidai CCM Ina master plan hadi 2075!! Hahahha kumbe mlikua mnaongea uongo tu!!!

Kelele nyingi sijui TISS hawawezi achia nchi kwa kina Lissu kisa wanatumika na mabeberu.

Cha kuchekesha na nyie mnalia lia kuwa Samia sio mzalendo na kwamba anatumika na mabeberu 🤣🤣🤣.

2025 kazi mnayo
 
Msianze kuchomekea bana,lini mliwahi kufika kwenye mei mosi ?
Kuchomekea wapi katafute clip za kampeni za Lissu!!! Mpaka mkadai anatumia watumishi wa umma kupata kura za hasira!!!

Ni CHADEMA tu ndio hupigania maslahi ya wananchi!! Au mmesahau mpaka vikokotoo mlitaka mtuue kama sio Kina Bulaya kupambana bungeni
 
Back
Top Bottom