Kwani kosa likwapi? Wakipongeza ni tatizo wakikosoa mnawaita Pinga Pinga!! Mnataka nini??Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154
Msianze kuchomekea bana,lini mliwahi kufika kwenye mei mosi ?Kwani kosa likwapi? Wakipongeza ni tatizo wakikosoa mnawaita Pinga Pinga!! Mnataka nini??
CHADEMA ilipiga kelele sana kuhusu watumishi kutopandishiwa mishahara ingekua kitu Cha ajabu Leo hii mshahara uongezwe afu wapinge tena!! Khaaaaa
nI FAKE BANA kwani lazima kila mtu asifie? kila mtu afanye kazi yake ebooo.....achana na hayo machawaKwani kosa likwapi? Wakipongeza ni tatizo wakikosoa mnawaita Pinga Pinga!! Mnataka nini??
CHADEMA ilipiga kelele sana kuhusu watumishi kutopandishiwa mishahara ingekua kitu Cha ajabu Leo hii mshahara uongezwe afu wapinge tena!! Khaaaaa
Mama ni ccm na sisi ni ccm chuki kwa mama itoke wapi?Chuki yenu kwa Mama haitowasaidia kitu yaani mnatamani afeli mpate Cha kusema!!!
Mnavyo mshambulia ndio mnawapa CHADEMA njia nyeupe 2025. Mnadhani mnamkomoa nani zaidi ya nyie wenyewe?
Uchaguzi wa 2025 utakua kama wa 2010!! Mtapoteana kabisa
FAKE NEWSKuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154
My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
Hamna jema mjue nyie.. Tukikaa kimya mnalalamika tukiongea mnachonga sijui mkoje huko upstairs kwenu?Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154
My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
Brother kupanga ni kuchaguaMsianze kuchomekea bana,lini mliwahi kufika kwenye mei mosi ?
Kumbe bado upumbavu wako haujaisha, tutakurejesha tena kwa mganga. Hakika!Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154
My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
Samia kachapa pesa chungunzima kwa ajili ya kupandisha mishahara pesa mpya zimejaa mitaani. Nakionq kifo cha shilingi yetu kama kipindi cha rais mwinyi.Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154
My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
Wanajisifia eti juhudi zao hawa vibwengo wameishiwa pumzi Mama anaupiga mwingiKuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154
My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
Afeli mara mara ngapi? Au unamaanisha ya kuanguka na kudanji?Chuki yenu kwa Mama haitowasaidia kitu yaani mnatamani afeli mpate Cha kusema!!!
Mnavyo mshambulia ndio mnawapa CHADEMA njia nyeupe 2025. Mnadhani mnamkomoa nani zaidi ya nyie wenyewe?
Uchaguzi wa 2025 utakua kama wa 2010!! Mtapoteana kabisa
Hilo genge kwa kujikombakomba halijambo. Chama la magaidi.
Mch.Msigwa aliwahi kuongea bungeni na mwisho alijumlisha kuwa Watanzania hatuna kitu mifukoni.Tumepigika wakiwemo watumishi.Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154
My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie mpandisha mshahara.
Hapo pa "aendelee kufuata katiba kama ilivyo" nina wasiwasi napo.Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.View attachment 2226154