zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 20,537 Reaction score 31,729 May 15, 2022 #21 sheiza said: Afeli mara mara ngapi? Au unamaanisha ya kuanguka na kudanji? Click to expand... Si polepole alidai CCM Ina master plan hadi 2075!! Hahahha kumbe mlikua mnaongea uongo tu!!! Kelele nyingi sijui TISS hawawezi achia nchi kwa kina Lissu kisa wanatumika na mabeberu. Cha kuchekesha na nyie mnalia lia kuwa Samia sio mzalendo na kwamba anatumika na mabeberu 🤣🤣🤣. 2025 kazi mnayo
sheiza said: Afeli mara mara ngapi? Au unamaanisha ya kuanguka na kudanji? Click to expand... Si polepole alidai CCM Ina master plan hadi 2075!! Hahahha kumbe mlikua mnaongea uongo tu!!! Kelele nyingi sijui TISS hawawezi achia nchi kwa kina Lissu kisa wanatumika na mabeberu. Cha kuchekesha na nyie mnalia lia kuwa Samia sio mzalendo na kwamba anatumika na mabeberu 🤣🤣🤣. 2025 kazi mnayo
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 20,537 Reaction score 31,729 May 15, 2022 #22 jingalao said: Msianze kuchomekea bana,lini mliwahi kufika kwenye mei mosi ? Click to expand... Kuchomekea wapi katafute clip za kampeni za Lissu!!! Mpaka mkadai anatumia watumishi wa umma kupata kura za hasira!!! Ni CHADEMA tu ndio hupigania maslahi ya wananchi!! Au mmesahau mpaka vikokotoo mlitaka mtuue kama sio Kina Bulaya kupambana bungeni
jingalao said: Msianze kuchomekea bana,lini mliwahi kufika kwenye mei mosi ? Click to expand... Kuchomekea wapi katafute clip za kampeni za Lissu!!! Mpaka mkadai anatumia watumishi wa umma kupata kura za hasira!!! Ni CHADEMA tu ndio hupigania maslahi ya wananchi!! Au mmesahau mpaka vikokotoo mlitaka mtuue kama sio Kina Bulaya kupambana bungeni