you are very right gentleman politically speaking 💪👊Wangetafuta mbinu nyingine kwa hii ya kuandika barua ya kalipio wakati Yuko kitandani ni zaidi ya unyama.Wamefanya kosa kubwa sana la kisiasa na kiubinadamu kuiirelease hii barua .Ndiomaana nasema CHADEMA ya sasa imekosa viongozi wenye hekima
no gentleman,demokrasia na maendeleo
Kweli hapa umenena sahihi wamulixe lissu samia alipoenda lisu alinunuliwaHii statement inasikitisha sana. Hamna hata mahali ambapo wameonyesha kujali hali yake. Wao wanakimbilia vitisho na insinuations. Wao walitegemea Sigrada akatae kutembelewa na Makalla? Mbona Lissu alitembelewa na Samia na Mbowe na Ndugai na hakukuwa na shutuma za kipuuzi. Kitakachofuata ni tamko la CDM kumfukuza uanachama kwa sababu amekubali kutumika na CCM. Ovyo kabisa.
Kwa mwenendo huu kwa nini watu wasiamini kuwa Noel alitumwa na CDM kumpiga au CDM wanabariki kitendo cha Sigrada kupigwa?
Watu wa ajabu sana.
Amandla...
Anatumiwa vipi na CCM? Au alikuwa anashirikiana na Noel? Badala ya kumlaumu aliyempiga nyinyi mnamlaumu aliyepigwa.Ipo wazi anatumiwa na CCM kuleta mtafaruku
Hata Mbowe alipopigwa Dodoma, Ndugai alienda kumtembelea. Na wote wakapiga picha. Imekuwaje huyu dada kutembelewa na kupigwa picha iwe nongwa?Kwa
Kweli hapa umenena sahihi wamulixe lissu samia alipoenda lisu alinunuliwa
Uso wa mtu huongea mambo mengi sana, wachache wanaelewa hii kitu,Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na Miongozo yake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Taarifa ya leo Machi 31, 2025 iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia imeeleza kuwa CHADEMA inafuatilia kwa makini njama za Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutumia tukio hili kwa manufaa yao binafsi.
"Tunatoa wito kwa Mh. Sigrada Mligo kuwa makini na mahusiano yake na CCM ili kuepuka kutumiwa kwa malengo yasiyo na nia njema, ambayo yanaweza kuathiri si tu hadhi ya Chama bali na ya kwake pia kama kiongozi na usalama wake binafsi." imesema taarifa hiyo
"Tunaendelea kufuatilia kwa karibu kila hatua inayochukuliwa kwa kushirikiana na vyombo husika vya ndani na nje ya Chama, na baadae tutatoa kauli rasmi kuhusu suala hili kadri itakavyofaa." imesema
CHADEMA watakuwa wanapanga njama za kumdhuru ili wahamishie lawama kwa CCM. kuweni makini na False Flag. Hii ni style yao tangu zamani.
Pia, Soma
Usijiuguze ukichaa,yaliyofanywa na hawa watu wanaoihujumu chadema ni zaidi hata ya hayo maumivu aliyoyapata.Yaan wamempiga na kumuumiza mdada wa watu, badala wafuatilie anaendeleaje na hali ya majeraha na mtihani wa maumivu anayopitia baada ya kipigo cha nguvu,
Chadema wanafuatilia mienendo ya siasa za mgonjwa alielazwa, dah!
Masuala ya utu kwa viongozi wao hasa wanaopata matatizo ni mtihani sana ndani ya chadema kwakweli,
ndio maana kauli mbiu ya CCM inasema,
Kazi na utu, tusonge mbele pamoja 🐒
Icho kitanda amelalia , kinaweza setiwa angle yoyote ,cardiac position n.k sasa iyo mito apo inafanya nini,Yaan wamempiga na kumuumiza mdada wa watu, badala wafuatilie anaendeleaje na hali ya majeraha na mtihani wa maumivu anayopitia baada ya kipigo cha nguvu,
Chadema wanafuatilia mienendo ya siasa za mgonjwa alielazwa, dah!
Masuala ya utu kwa viongozi wao hasa wanaopata matatizo ni mtihani sana ndani ya chadema kwakweli,
ndio maana kauli mbiu ya CCM inasema,
Kazi na utu, tusonge mbele pamoja 🐒
Kabisa mtu yuko ICU kalazwa halafu mtu snamwandikia barua mtu unconscious kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yakeHii ni moja ya barua za kipumbavu kabisa.
Chadema hata hospital hawakukanyaga na ukichukulia kuwa huyo ni kiongozi wao mkubwa sana kitaifa kwenye chama chaoInfact,
Tundu lisu alipopata tatizo miaka ile ya 2017, kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan na Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi walikwenda kumtembelea mgonjwa huyo pale Nairobi Hospital, Je, lilikua Tatizo?
au ni uelewa na kufahamu mdogo juu ya mambo haya gentleman?🐒
Uyo yupo unconscious? kwa vigezo vipi umetumia au umeamua kurupuka kuandika , unajua maana mgonjwa ambae ni unconscious, semiconscious, coma ,Kabisa mtu yuko ICU kalazwa halafu mtu snamwandikia barua mtu unconscious kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yake
Kama kweli hiyo barua imetoka Chadema watetea haki za binadamu iburuzeni Chadema mahakamani
Haiwezekani kumwandikia barua mtu aliye ICU anapambania uhai wake
Aliyeandika hiyo barua utu na akili na hekima vyoye hana
Kwa hiyo ni mzima? Hospitali alienda kutalii? Hospitali ni mbuga ya wanyama au?Uyo yupo unconscious? kwa vigezo vipi umetumia au umeamua kurupuka kuandika , unajua maana mgonjwa ambae ni unconscious, semiconscious, coma ,
Msiwe mnakuja na mambo ya ajabu kuchefua watu
Hii statement inasikitisha sana. Hamna hata mahali ambapo wameonyesha kujali hali yake. Wao wanakimbilia vitisho na insinuations. Wao walitegemea Sigrada akatae kutembelewa na Makalla? Mbona Lissu alitembelewa na Samia na Mbowe na Ndugai na hakukuwa na shutuma za kipuuzi. Kitakachofuata ni tamko la CDM kumfukuza uanachama kwa sababu amekubali kutumika na CCM. Ovyo kabisa.
Kwa mwenendo huu kwa nini watu wasiamini kuwa Noel alitumwa na CDM kumpiga au CDM wanabariki kitendo cha Sigrada kupigwa?
Watu wa ajabu sana.
Amandla...
Unamjulia hali mtu ambae yupo kwenye maigizo?Hii statement inasikitisha sana. Hamna hata mahali ambapo wameonyesha kujali hali yake. Wao wanakimbilia vitisho na insinuations. Wao walitegemea Sigrada akatae kutembelewa na Makalla? Mbona Lissu alitembelewa na Samia na Mbowe na Ndugai na hakukuwa na shutuma za kipuuzi. Kitakachofuata ni tamko la CDM kumfukuza uanachama kwa sababu amekubali kutumika na CCM. Ovyo kabisa.
Kwa mwenendo huu kwa nini watu wasiamini kuwa Noel alitumwa na CDM kumpiga au CDM wanabariki kitendo cha Sigrada kupigwa?
Watu wa ajabu sana.
Amandla...