PreGE2025 CHADEMA yamuonya Sigrada Mligo kutumiwa vibaya na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyo chapombe asipoangalia CCM wanaweza kumpa sumu ili ionekana amekufa kutokana na kipigo hewa ili kuiangushia Chadema jumba bovu,CCM wana siasa za ******* sana.
 
Hii ni moja ya barua za kipumbavu kabisa.
Mkuu kakae na mgonjwa hospitalini, hakikisha hutoki hadi apone, na ukipata udhuru mauchie mgonjwa kiongozi wa ccm akae naye hadi urudi. Na mtoe update za mgonjwa kwenye ofisi za cdm kwani huyo ni mwanachama wao.
 
Mkuu kakae na mgonjwa hospitalini, hakikisha hutoki hadi apone, na ukipata udhuru mauchie mgonjwa kiongozi wa ccm akae naye hadi urudi. Na mtoe update za mgonjwa kwenye ofisi za cdm kwani huyo ni mwanachama wao.
Una matatizo makubwa na pengine akili yako imefika mwisho wa kufikiri,kuchambua na kuwa na hitimisho lililoshiba.
 
Acha ujinga me nmesea kuhusu kitendo kilichotokea naona unajielekeza katika kuniattack mim kama CCM yaan mkihojiwa mnakimbilia uCCM ni mpumbavu sio kila anaehoji ni CCM kwa stail hii mkiingia madarak hamtotaka kuhojiwa wala kukosolewa na kwa upumbav huo usifikiri tutakubali.
 
Watu bhana!! Makonda aliwahi mpiga jaji warioba ulisikia wapi CCM wamekemea!! Mtu akileta ujinga wa kuleta siasa za kutumwa na maCCM na vibaraka wao walioshindwa apigwe tu hamna namna.
 
Mtibuni apone.
Acheni danadana
 
Watu bhana!! Makonda aliwahi mpiga jaji warioba ulisikia wapi CCM wamekemea!! Mtu akileta ujinga wa kuleta siasa za kutumwa na maCCM na vibaraka wao walioshindwa apigwe tu hamna namna.
ni muhimu sana kujikita kwenye hoja mahususi bila mihemko gentleman 🐒
 
Sasa kama una hoja za ki CCM tukuweke kwenye group lipi?

Nyie mnageuza maada za msingi kuwa za kishabiki zikiwageukia mnakimbia.

Acha usenge get things on the table and discus facts.

Mtu kafa Chama kina zumgumza shit,Kifo ni kifo

Mtu akalazwa kisa kanywa Konyagi tunasemamkorofi
 
Emu tuende mdogomdogo. Kwanza, unakubali kwanza yule dada alipigwa ngumi au haukubali? Alafu usilete maada ya marehemu Kibao hapa watu humu JF tulirise na tuliprotest
 
Ndungai alikua sahii kama spika ,na Mbowe aliekua Mbunge, sasa Makalla na mwenezi wa chadema wapi na wapi? Kama sio iyo tu , vipi matamko ambayo ccm wameyatoa kana kwamba uyu mtu wa kwanza kupata shida ndani ya chadema.
HATA SIS CDM NI WASAHAULIFU, WAKATI MAKALA HUYU ANAENDESHA HARAMBEE YA KUMCHANGIA LISSU NA HELA ZIKAPATIKANA LISSU AKABEBA, MBONA HATUKUSEMA MAKALA NA LISU WAPI NA WAPI?
 
HATA SIS CDM NI WASAHAULIFU, WAKATI MAKALA HUYU ANAENDESHA HARAMBEE YA KUMCHANGIA LISSU NA HELA ZIKAPATIKANA LISSU AKABEBA, MBONA HATUKUSEMA MAKALA NA LISU WAPI NA WAPI?
We unafikili Makala aliendesha ule mchango kwa kupenda , ule ulikua ni kutafuta namna ya kumteka kiakili lissu kupitia kwa msigwa ,kumbe lissu yupo km 200 mbele yao ,
 
Maelezo haya ni upuuzi mtupu, nani alipata habari mwanzo za sigrada kuumizwa na kulazwa..ccm au chadema? hawa waliokwenda kumuona Dodoma nao walimpigia huyo unayemsema walipofika getini??? Pre GE2025 - PICHA: Viongozi wa BAWACHA Kanda ya Kati wamjulia Hali Mwenezi Taifa, Sigrada Mligo ...mtu ameumizwa kwenye kikao cha chama, hawezi kuwa peke yake tena..lazima chama kinachojali wanachama na viongozi wake kita-deploy team ya wanachama wawe nae, kwanza ni kumshauri aende nyumbani apumzike au la km anasikia maumivu wampeleke hospitali..na hatua hizi zingesimamiwa na Heche sababu ndiye source ya huyu kuumizwa..mnataka kuaminiwa kuongoza nchi wakati mambo madogo km haya yanawashinda..visingizio vingiiii..upumbavu mtupu! nyinyi wenyewe hamjaliani, saa ngapi mtawajali watanzania msiowajua..? huyu ambae mnae kila siku na amekuwa anafanya kazi ya chama mmeshindwa kumjali..nani mtamjali..??? Rose Mayemba mwenyewe hata tu clip fupi ya kumpa pole be t anaigiza au kweli ameumizwa, just a word of sympathy sabab hata km anaigiza bado unaweza mpa pole kuonyesha solidarity..!
Kama chama kingekuwa nae Sigrada muda wote, ccm wasingesogea..mmemtelekeza ndio maana wapo wao, na hizo hatari za kudhuriwa na ccm mtakuwa mmezisababisha nyinyi! Mawazo alipouwawa alikuwa peke yake au alikuwa na wanachama wenzake..? km alichukuliwa akiwa kwenye mkusanyiko wa chama nani alimsababishia hayo yaliyompata..! msikimbie wajibu wenu km chama, hata km mnahisi mtu huyu ni msaliti kuweni naye hadi apone..ndio hizo barua za kuachana nae zifuate! chama gani kimejaa wahuni tu! miaka 30 sasa ishu ni wasaliti..mmeshindwa kupata majibu ya kudeal na wasaliti hayo matatizo ya nchi makubwa mtayaweza..? Sigrada mtu mmoja tena hana hata roots kwenye chama mnaweweseka km mazuzu, mtu mdogo kabisa mnajenga chuki na visasi hata havieleweki..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…