hakuna migawanyiko, wakati imejaa tele, right?π€£Yes. Huwezi jua tofauti ya kejeli na kulia huku mtu anacheka kama siyo mpambanuzi wa mambo.
Malengo ya CHADEMA yametimia na ndiyo ushindi wenyewe huo. Mambo ya matokeo inajulikana kuwa CCM watachakachua tu.Broo we umesema Chadema wameshinda uchaguz, ni uchaguzi gani huo? Uchaguz ni tarehe 27 na mtapata baadhi tu ya mitaa lakini hamtoshinda brooo. Endelea kujiliwaza!!
Ili ujue huu ni mgawanyiko inatakiwa iweje. Unajua kuwa Kinana aliondoka CCM kwa kuwa alikuwa hakubaliani na Mwenyekiti wake kwenye baadhi ya mambo?hakuna migawanyiko, wakati imejaa tele, right?π€£
Ndiyo ukweli wenyewe huo.uongo wa kijasri wa kiwango cha juu sana huo π
inafurahisha mno kuona, waliogawanyika wote wanakua makambale yenye sharubu yanatambiana kibabe dah πIli ujue huu ni mgawanyiko inatakiwa iweje. Unajua kuwa Kinana aliondoka CCM kwa kuwa alikuwa hakubaliani na Mwenyekiti wake kwenye baadhi ya mambo?
Ndiyo ukweli wenyewe huo.
Kilala ndiyo Tanganyika nzima. Yaani pima uwezo wako wa kufikiri ulivyo. Mkutano wa mtaa, kitongoji au Kijiji ulitaka uwe na watu wangapi?Leo nilipita Kilala wilaya ya Arumeru wanafanya kampeni pamoja na kwamba walilazimisha kufanyia kampeni kituo cha bodaboda hakuna mtu alikuwa na muda nao, hakuna ht watu 10 wa kuwasikiliza.
Yaani propaganda ya CCM kuhusu ruzuku imewashika watu wengi hata wale wanaodhani wao ni werevu.Na ndio hio Demokrasia tunayotaka na ruzuku zetu lukuki kutumika ili ushindi huo ndio upatikane....,
Ndiyo raha ya demokrasia. Haki yako ni sawa na haki yangu. Ukiona haki ya Mwenyekiti kugombea Urais wengine hawana, jua hicho chama hakina demokrasia.inafurahisha mno kuona, waliogawanyika wote wanakua makambale yenye sharubu yanatambiana kibabe dah π
usithubutu kuonja sumu kwa ulimi,Ndiyo raha ya demokrasia. Haki yako ni sawa na haki yangu. Ukiona haki ya Mwenyekiti kugombea Urais wengine hawana, jua hicho chama hakina demokrasia.
Kabisa... Kama mwendazake angekuwepo Leo kweli mngesema Mama agombee?usithubutu kuonja sumu kwa ulimi,
au hujui hiki chama kimetika wapi? π€£
mwenyekiti wa chama maisha, alikua akiwapiga biti intruders vimbelembele π
Kwamba Kodi zetu hazilipwi kama Ruzuku ? Na Ruzuku inatoka mara ngapi ? Kila mwezi Kodi za mlalahoi zinakwenda kwenye Ruzuku kwahio Uchaguzi or not pesa zinakwenda na kinachoendelea mlipa Kodi is shortchanged kwenye haya maigizo wewe unayoita ushindi...Yaani propaganda ya CCM kuhusu ruzuku imewashika watu wengi hata wale wanaodhani wao ni werevu.
Hizi ni Kampeni za wenyeji na viongozi wa kitaifa wanachagiza tu.
halafu Kibaraka anajifanya kama haelewi somo vile π€£Kabisa... Kama mwendazake angekuwepo Leo kweli mngesema Mama agombee?
CCM wanafiki Sana.
Chawa na Malaya wa kisiasa onesha picha!!We nyumbu kwl ni mwehu. Leo nilipita Kilala wilaya ya Arumeru wanafanya kampeni pamoja na kwamba walilazimisha kufanyia kampeni kituo cha bodaboda hakuna mtu alikuwa na muda nao, hakuna ht watu 10 wa kuwasikiliza.
Ogopa sana vigeugeu, walikuwa wanamdangaya Maalim mpaka kaondoka bila ya kufikia lengo.halafu Kibaraka anajifanya kama haelewi somo vile π€£
ila hataamini macho yake, na ataongea sana wakati muafaka ukifika. Anasubiriwa afike mlangoni kabisa ndio aambiwe Ukweli, dah π
Na vyama vingine navyo havioni umuhimu (siyo sababu) ya kuwepo kwa CCM.Kwa kweli sioni sababu ya uwepo wa vyama vya upinzani.
Amos makala mtu aliyeshindwa kabisa hata kuwapeleka watto shule enzi za jpm naye anatamba sasaivi.CCM wanawadharau Sana watanzania. Wanajua wanaweza kuvuruga uchaguzi na watanzania wakaona sawa tu.
Wafu wanazikana,pipa na mfuniko!Ukweli Mtupu!
Yaani uzi huu Mbowe akiuona atalia sana na kufikiri kwanini kila mara chadema inashindwa kwa kuwa na wafuasi wa aina hii wasiweza kupambana wao ni wa kukata tamaa tu!CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili.
Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM, uchaguzi hautakuwa huru wala wa haki.
Jambo la pili ambalo CHADEMA walikusudia kuonesha ni kwamba CHADEMA Ina ushawishi mkubwa sana kwa wananchi kuliko CCM.
Kwenye mambo yote mawili CHADEMA wamefanikiwa.
Kitendo cha wagombea wao kuenguliwa kinyume cha kanuni za uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024,zilizotungwa na CCM wenyewe, kinaonesha kuwa hoja ya CHADEMA kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri za miji hawafai kusimamia uchaguzi huo na mwigine wowote ule, hoja yao hiyo kuwa ina mashiko.
Kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA bila ya sababu za msingi, kunaimarisha hoja ya CHADEMA kuwa CCM inategemea nguvu ya vyombo vya dola kuendesha siasa zake.
Lakini ukiangalia nguvu wanayotumia CCM kufanya Kampeni zao, unagundua kuwa hawakubaliki kwa wananchi ila wanalazimisha kukubalika.
Lakini kwa upande wa pili CHADEMA Kampeni zao zina muamko mkubwa sana na hoja zao zinaonekana kuvutia hisia za watanzania wengi.
Bahati mbaya sana CCM watafanya kile walichofanya mwaka 2019, watajitangaza washindi.
Kiujumla CHADEMA imepata ushindi mkubwa sana kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.
CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili.