LGE2024 CHADEMA "yapata ushindi mkubwa" Serikali za mitaa

LGE2024 CHADEMA "yapata ushindi mkubwa" Serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Broo we umesema Chadema wameshinda uchaguz, ni uchaguzi gani huo? Uchaguz ni tarehe 27 na mtapata baadhi tu ya mitaa lakini hamtoshinda brooo. Endelea kujiliwaza!!
Malengo ya CHADEMA yametimia na ndiyo ushindi wenyewe huo. Mambo ya matokeo inajulikana kuwa CCM watachakachua tu.
 
Ili ujue huu ni mgawanyiko inatakiwa iweje. Unajua kuwa Kinana aliondoka CCM kwa kuwa alikuwa hakubaliani na Mwenyekiti wake kwenye baadhi ya mambo?

Ndiyo ukweli wenyewe huo.
inafurahisha mno kuona, waliogawanyika wote wanakua makambale yenye sharubu yanatambiana kibabe dah šŸ’
 
Na ndio hio Demokrasia tunayotaka na ruzuku zetu lukuki kutumika ili ushindi huo ndio upatikane....,

Kwahio job well done ?
 
Leo nilipita Kilala wilaya ya Arumeru wanafanya kampeni pamoja na kwamba walilazimisha kufanyia kampeni kituo cha bodaboda hakuna mtu alikuwa na muda nao, hakuna ht watu 10 wa kuwasikiliza.
Kilala ndiyo Tanganyika nzima. Yaani pima uwezo wako wa kufikiri ulivyo. Mkutano wa mtaa, kitongoji au Kijiji ulitaka uwe na watu wangapi?

Watu kama nyie ndiyo mtaji wa CCM.
 
Na ndio hio Demokrasia tunayotaka na ruzuku zetu lukuki kutumika ili ushindi huo ndio upatikane....,
Yaani propaganda ya CCM kuhusu ruzuku imewashika watu wengi hata wale wanaodhani wao ni werevu.

Hizi ni Kampeni za wenyeji na viongozi wa kitaifa wanachagiza tu.
 
Ndiyo raha ya demokrasia. Haki yako ni sawa na haki yangu. Ukiona haki ya Mwenyekiti kugombea Urais wengine hawana, jua hicho chama hakina demokrasia.
usithubutu kuonja sumu kwa ulimi,
au hujui hiki chama kimetika wapi? 🤣

mwenyekiti wa chama maisha, alikua akiwapiga biti intruders vimbelembele šŸ’
 
Yaani propaganda ya CCM kuhusu ruzuku imewashika watu wengi hata wale wanaodhani wao ni werevu.

Hizi ni Kampeni za wenyeji na viongozi wa kitaifa wanachagiza tu.
Kwamba Kodi zetu hazilipwi kama Ruzuku ? Na Ruzuku inatoka mara ngapi ? Kila mwezi Kodi za mlalahoi zinakwenda kwenye Ruzuku kwahio Uchaguzi or not pesa zinakwenda na kinachoendelea mlipa Kodi is shortchanged kwenye haya maigizo wewe unayoita ushindi...

Kabisa... Kama mwendazake angekuwepo Leo kweli mngesema Mama agombee?

CCM wanafiki Sana.
halafu Kibaraka anajifanya kama haelewi somo vile 🤣

ila hataamini macho yake, na ataongea sana wakati muafaka ukifika. Anasubiriwa afike mlangoni kabisa ndio aambiwe Ukweli, dah šŸ’
 
We nyumbu kwl ni mwehu. Leo nilipita Kilala wilaya ya Arumeru wanafanya kampeni pamoja na kwamba walilazimisha kufanyia kampeni kituo cha bodaboda hakuna mtu alikuwa na muda nao, hakuna ht watu 10 wa kuwasikiliza.
Chawa na Malaya wa kisiasa onesha picha!!

Acha njaa tafuta hela za uhalali uepukane na laana za Damu za watu
 
halafu Kibaraka anajifanya kama haelewi somo vile 🤣

ila hataamini macho yake, na ataongea sana wakati muafaka ukifika. Anasubiriwa afike mlangoni kabisa ndio aambiwe Ukweli, dah šŸ’
Ogopa sana vigeugeu, walikuwa wanamdangaya Maalim mpaka kaondoka bila ya kufikia lengo.

Yaani mwizi anakuibia gari halafu anataka muwe na makubaliano eti awe anakuazima hilo hilo gari alilokuibia.
 
Kizuri zaidi CCM inashinda chaguzi zote kwa miaka yote, halafu
wananchi wana shuhudia namna ccm na serikali yake;
1-wakitoa ajira za kutosha kwa kila kijana, na hakuna upendeleo.
2-Mafanikio makubwa kwenye kuanzisha na kuendesha miradi mikubwa kama mwendo kasi, SGR, Airports, nk nk
Mpaka nchi jirani wanakuja kujifunza kutoka kwetu
3-Ccm imeshinda na kutokomeza Rushwa na ubadhirifu, hakuna ufisadi kabisa
4-Hata siasa ni za kidemocrasia na uhuru wa kujieleza, hii sio sawa na nchi jirani ambazo wakosoaji wanatekwa na kuteswa na kupotezwa
5-Huduma za kijamii zipo za kutosha kwa kila mtu kwa gharama nafuu
6-Miundombinu, tunaongoza wachina hawatufikii.

Kwa kweli sioni sababu ya uwepo wa vyama vya upinzani.
 
Kwa kweli sioni sababu ya uwepo wa vyama vya upinzani.
Na vyama vingine navyo havioni umuhimu (siyo sababu) ya kuwepo kwa CCM.

Chama gani hiki ambacho kila ukifika wakati wa uchaguzi lazima kifanye dhuluma.
 
CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili.

Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM, uchaguzi hautakuwa huru wala wa haki.

Jambo la pili ambalo CHADEMA walikusudia kuonesha ni kwamba CHADEMA Ina ushawishi mkubwa sana kwa wananchi kuliko CCM.

Kwenye mambo yote mawili CHADEMA wamefanikiwa.

Kitendo cha wagombea wao kuenguliwa kinyume cha kanuni za uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024,zilizotungwa na CCM wenyewe, kinaonesha kuwa hoja ya CHADEMA kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri za miji hawafai kusimamia uchaguzi huo na mwigine wowote ule, hoja yao hiyo kuwa ina mashiko.

Kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA bila ya sababu za msingi, kunaimarisha hoja ya CHADEMA kuwa CCM inategemea nguvu ya vyombo vya dola kuendesha siasa zake.

Lakini ukiangalia nguvu wanayotumia CCM kufanya Kampeni zao, unagundua kuwa hawakubaliki kwa wananchi ila wanalazimisha kukubalika.

Lakini kwa upande wa pili CHADEMA Kampeni zao zina muamko mkubwa sana na hoja zao zinaonekana kuvutia hisia za watanzania wengi.

Bahati mbaya sana CCM watafanya kile walichofanya mwaka 2019, watajitangaza washindi.

Kiujumla CHADEMA imepata ushindi mkubwa sana kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.
Yaani uzi huu Mbowe akiuona atalia sana na kufikiri kwanini kila mara chadema inashindwa kwa kuwa na wafuasi wa aina hii wasiweza kupambana wao ni wa kukata tamaa tu!
 
CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili.

Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM, uchaguzi hautakuwa huru wala wa haki.

Jambo la pili ambalo CHADEMA walikusudia kuonesha ni kwamba CHADEMA Ina ushawishi mkubwa sana kwa wananchi kuliko CCM.

Kwenye mambo yote mawili CHADEMA wamefanikiwa.

Kitendo cha wagombea wao kuenguliwa kinyume cha kanuni za uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024,zilizotungwa na CCM wenyewe, kinaonesha kuwa hoja ya CHADEMA kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri za miji hawafai kusimamia uchaguzi huo na mwigine wowote ule, hoja yao hiyo kuwa ina mashiko.

Kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA bila ya sababu za msingi, kunaimarisha hoja ya CHADEMA kuwa CCM inategemea nguvu ya vyombo vya dola kuendesha siasa zake.

Lakini ukiangalia nguvu wanayotumia CCM kufanya Kampeni zao, unagundua kuwa hawakubaliki kwa wananchi ila wanalazimisha kukubalika.

Lakini kwa upande wa pili CHADEMA Kampeni zao zina muamko mkubwa sana na hoja zao zinaonekana kuvutia hisia za watanzania wengi.

Bahati mbaya sana CCM watafanya kile walichofanya mwaka 2019, watajitangaza washindi.

Kiujumla CHADEMA imepata ushindi mkubwa sana kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.

..nilitegemea ktk uchaguzi huu Ccm wapanue.

..halafu 2025 ndio wabinye, lakini wao wamefanya kinyume chake.
 
Back
Top Bottom