LGE2024 CHADEMA "yapata ushindi mkubwa" Serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
tunza hoja yako kesho sio mbali
 
Ukweli usemwe gentleman,

vibaraka wa mambwenyenye ya Magharibi na mercenaries wao hawawezi kwa namna yoyote ile kuvuruga umoja, amani, utulivu na mshikamano miongni mwa waTanzania. hiyo haiwezekani kabisa gentleman...

United and Vibrant Opposition ni product ya visionary leaders. And opposition in Tanzania lacks that.

opposition ya kulalamikia tu na kuandamana without addressing the issues and coming up with alternative plans ni makelele tu. Hiyo ni nonsense opposition gentleman 🐒
 
Ukweli usemwe gentleman,

vibaraka wa mambwenyenye ya Magharibi na mercenaries wao hawawezi kwa namna yoyote ile kuvuruga umoja, amani, utulivu na mshikamano miongni mwa waTanzania. hiyo haiwezekani kabisa gentleman...
Hizi ni propaganda uchwara. Yaani wavuruga amani ndiyo wao Kila siku wanaotekwa😀😆😃

Sema CHADEMA wanavurugaje amani.
 
Hizi ni propaganda uchwara. Yaani wavuruga amani ndiyo wao Kila siku wanaotekwa😀😆😃

Sema CHADEMA wanavurugaje amani.
Gentleman,
give me a break, cozi nikieleza Ukweli kuhusu Chadema nitazungumza kwa kirefu sana...

Ila itoshe tu kusema,
there is no room or escape roots puppets and mercenaries to interfere peace, unit and stability among Tanzanians.

Infact,
migawanyiko, mvurugano ndani ya chadema isipodhibitiwa sasa, inaweza kua na athari kubwa zaidi mpaka kwenye uhai wa watu hapo mbeleni, lakin atasingiziwa asie husika 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hakika umepoteza matumaini!
Kabisa. Yaani nimepoteza matumaini kabisa kuwa chini ya utawala wa CCM iko siku hii nchi ufisadi utakwisha.

Nimepoteza matumaini kabisa kuwa kuna siku tutakuwa na mipango thabiti ya kukifanya kilimo kweli kiwe uti wa mgongo wa Taifa letu hili.

Nimepoteza matumaini kabisa kama ndani ya CCM kuna hata mwana CCM mmoja mwenye uchungu wa rasirimali za Taifa hili.

Sina hata chembe ya matumaini kuwa CCM wanajali Elimu ya Umma na ndiyo maana watoto wao wanawasomesha kwenye shule binafsi.

Sina matumaini kama chini ya CCM kutakuwa na mpango wowote wa kuboresha mifumo ya ajira hapa Tanzania.

Matumai yangu hayapo tena kuwa iko siku Tanzania tutakuwa na nguvu kama ile ya zamani kwenye medani za siasa za kimataifa.

Kila nikiangalia kuwa nchi yetu inaongozwa na CCM. Matumaini yangu yanazidi kupotea.
 
Gentleman,
give me a break, cozi nikieleza Ukweli kuhusu Chadema nitazungumza kwa kirefu sana...
Hayo makorokoro ya "Give me a break" achana nayo. Wewe elezea ni kwa jinsi gani CHADEMA inavuruga amani ya nchi hii!?
 
Ushindi mkubwa mtaupata sku freeman mbowe akiachia madaraka,
Hii nguvu unayotumia kupiga polojo za uongo ingetumika kumuondoa mbowe chadema ungeonekana wa maana sana.

Kila sku chadema kimekua chama cha kulalamika na kusononeka wakat shetani wanakaa nalo ndani.
Toa mbowe weka heche
 
Sasa Chadema wafanye nini kuondoa huo uonevu wanaofanyiwa na Dola.
 
Mkuu rudi kwa mganga ukamalizie tiba yako
 
Kwa nini Heche na siyo mwingine yeyote yule. Kama wewe ulivyo na Imani na Heche vivyo hivyo wapo pia ambao bado wana Imani na Mbowe.
 
Nakubaliana na hoja zako.Lakini,nadhani viongozi ambao ni wasaidizi wa Mama Samia wanataka kumharibia Yeye binafsi ili mwakani wajenge hoja kuwa hafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…