Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #61
Najidanganya kuhusu nini?Endelea kujidanganya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najidanganya kuhusu nini?Endelea kujidanganya!
tunza hoja yako kesho sio mbaliChadema wangojee kuangukia pua eti wana hoja na wanakubalika na wananchi.? CCM bado inakubalika hata kama ni sababu ya historia yake kua chama cha kutetea wanyonge. Kipindi cha Magufuli ccm ilirejesha matumaini ya umma. Kwa sasa chini ya samia wananchi bado hawaiamini. Licha ya hivyo umma wa watanzania hawana imani na chadema kwa kua inafuata itikadi ya uliberali na kimeonyesha kutumikia maslahi ya nchi za magharibi ya kibepari. Chaguo lao ni kubaki na ccm huku wakifanya upinzani wa ndani kwa ndani ili kuweka viongozi wanaoendana na itikadi ya chama hicho ya haki na usawa kijamii na kiuchumi na kutanguliza maslahi ya umma wa wananchi mbele.
Ukweli usemwe gentleman,Bora kufilisika kifikra lakini unajitambua kuliko wewe chawa wa kijani
Unashabikia watu kugombqna na kuwaita watu vibaraka. Nawewe ni nani sasa!
Kama mimi nimefilisika kimawazo wewe umefilisika nn?
Unataka mawazo na fikra mpya huku unashabikia chama kilichofilisika kifkra au hujui kwamba CHAMA CHA MANGURUWE NDICHO KINAFILISI NCHI HII KWA UFISADI?
wewe unadai you need vibrant opposition parts wakati vilivyopo unataka vile?
Hizi ni propaganda uchwara. Yaani wavuruga amani ndiyo wao Kila siku wanaotekwa😀😆😃Ukweli usemwe gentleman,
vibaraka wa mambwenyenye ya Magharibi na mercenaries wao hawawezi kwa namna yoyote ile kuvuruga umoja, amani, utulivu na mshikamano miongni mwa waTanzania. hiyo haiwezekani kabisa gentleman...
Hakika umepoteza matumaini!Umenikumbusha wimbo wa Michael Jackson wa "Thriller" jinsi misukule ilivyokuwa inacheza huo wimbo😆😆😀
Nikiona watu wanacheza ule wimbo wa CCM ni ile ile huwa nacheka tu.
Gentleman,Hizi ni propaganda uchwara. Yaani wavuruga amani ndiyo wao Kila siku wanaotekwa😀😆😃
Sema CHADEMA wanavurugaje amani.
Kabisa. Yaani nimepoteza matumaini kabisa kuwa chini ya utawala wa CCM iko siku hii nchi ufisadi utakwisha.Hakika umepoteza matumaini!
Hayo makorokoro ya "Give me a break" achana nayo. Wewe elezea ni kwa jinsi gani CHADEMA inavuruga amani ya nchi hii!?Gentleman,
give me a break, cozi nikieleza Ukweli kuhusu Chadema nitazungumza kwa kirefu sana...
CHADEMA wamepata walichokitaka ila CCM watapora ili wapate wanachokitaka.Ushindi n kufanikiwa kupata unachokitaka
Sasa Chadema wafanye nini kuondoa huo uonevu wanaofanyiwa na Dola.CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili.
Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM, uchaguzi hautakuwa huru wala wa haki.
Jambo la pili ambalo CHADEMA walikusudia kuonesha ni kwamba CHADEMA Ina ushawishi mkubwa sana kwa wananchi kuliko CCM.
Kwenye mambo yote mawili CHADEMA wamefanikiwa.
Kitendo cha wagombea wao kuenguliwa kinyume cha kanuni za uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024,zilizotungwa na CCM wenyewe, kinaonesha kuwa hoja ya CHADEMA kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri za miji hawafai kusimamia uchaguzi huo na mwigine wowote ule, hoja yao hiyo kuwa ina mashiko.
Kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA bila ya sababu za msingi, kunaimarisha hoja ya CHADEMA kuwa CCM inategemea nguvu ya vyombo vya dola kuendesha siasa zake.
Lakini ukiangalia nguvu wanayotumia CCM kufanya Kampeni zao, unagundua kuwa hawakubaliki kwa wananchi ila wanalazimisha kukubalika.
Lakini kwa upande wa pili CHADEMA Kampeni zao zina muamko mkubwa sana na hoja zao zinaonekana kuvutia hisia za watanzania wengi.
Bahati mbaya sana CCM watafanya kile walichofanya mwaka 2019, watajitangaza washindi.
Kiujumla CHADEMA imepata ushindi mkubwa sana kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.
Mkuu rudi kwa mganga ukamalizie tiba yakoCHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili.
Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM, uchaguzi hautakuwa huru wala wa haki.
Jambo la pili ambalo CHADEMA walikusudia kuonesha ni kwamba CHADEMA Ina ushawishi mkubwa sana kwa wananchi kuliko CCM.
Kwenye mambo yote mawili CHADEMA wamefanikiwa.
Kitendo cha wagombea wao kuenguliwa kinyume cha kanuni za uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024,zilizotungwa na CCM wenyewe, kinaonesha kuwa hoja ya CHADEMA kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri za miji hawafai kusimamia uchaguzi huo na mwigine wowote ule, hoja yao hiyo kuwa ina mashiko.
Kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA bila ya sababu za msingi, kunaimarisha hoja ya CHADEMA kuwa CCM inategemea nguvu ya vyombo vya dola kuendesha siasa zake.
Lakini ukiangalia nguvu wanayotumia CCM kufanya Kampeni zao, unagundua kuwa hawakubaliki kwa wananchi ila wanalazimisha kukubalika.
Lakini kwa upande wa pili CHADEMA Kampeni zao zina muamko mkubwa sana na hoja zao zinaonekana kuvutia hisia za watanzania wengi.
Bahati mbaya sana CCM watafanya kile walichofanya mwaka 2019, watajitangaza washindi.
Kiujumla CHADEMA imepata ushindi mkubwa sana kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.
Sawa, leo hii hii narudi.Mkuu rudi kwa mganga ukamalizie tiba yako
Kwa nini Heche na siyo mwingine yeyote yule. Kama wewe ulivyo na Imani na Heche vivyo hivyo wapo pia ambao bado wana Imani na Mbowe.Ushindi mkubwa mtaupata sku freeman mbowe akiachia madaraka,
Hii nguvu unayotumia kupiga polojo za uongo ingetumika kumuondoa mbowe chadema ungeonekana wa maana sana.
Kila sku chadema kimekua chama cha kulalamika na kusononeka wakat shetani wanakaa nalo ndani.
Toa mbowe weka heche
Nakubaliana na hoja zako.Lakini,nadhani viongozi ambao ni wasaidizi wa Mama Samia wanataka kumharibia Yeye binafsi ili mwakani wajenge hoja kuwa hafai.CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili.