King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hili swali limeulizwa sana humu ila naona hawana nia ya kulijibu.
NI kwamba waganga wake wamemwambia wazi kuwa mama NI mcha MUNGU hivyo hawezi penyeza ushirikina wao pale. Ni nadra sana mganga kukwambia ukweliMwigulu ana hesabiwa siku za uwaziri.
Mara hii hata waganga wake hawata fanikiwa. Mama anae Mungu
Mnayajua Leo kwamba Rais NI taasisi. Si mlisema hakuna anayeweza kuwa Rais zaidi ya mwendazake. Sasa mama ndo kawaambia yeye ndo Rais naona kheri James kaanza kujutia kwa kudhani urais NI mali ya mwendazake kumbe siyo.Kwana rais ni mtu au ni Tasisi. Tatizo la CDM mnajua mwenyekiti ni Mbowe tu.
Kwahiyo inakuwa tunaanza upya,haya ngoja tusubiri wataalamu wa sheria.Simple Logic kwamba tukio la kufiwa na rais akiwa madarakani ni geni na ndio limetokea kwa mara ya kwanza hivyo hatuna precedent lakini kwa simple logic tu kwamba wateule wa rais nao automatic wanakua disqualified baada ya rais aliyewateua na kuapa kwake kufariki.
Chadema inaongea kama nan..hko chama si kilishajifia..na waaasis wake wako uhamishon
Hapana hapa ni tofauti.Kwani hawa wanaitambua hii serikali iliyopo madarakani mbona siwaelewi.
Ila katiba mbona imefuatwa au lazima tuyumbishe gari kwanza [emoji23][emoji23] hlf tuendeleeView attachment 1737654View attachment 1737657View attachment 1737655View attachment 1737656View attachment 1737658
Basi kwa mantiki yako Mh Samia asingeapa kuwa Rais maana alikuwa anafanya kazi na aliyekuwa Rais JPM.Hiki chama hovyo kabisa hivi hata Akili kidogo wanakosa? Hivi hawajui Rais Aliyekuwepo Hakufanya uteuzi bila kushauriana na Msaidizi wake?
Hiki chama cha chadema sijui kama kina watu weledi wa kuchuja mambo kabla ya kukimbilia kwenye vyombo vya habari na kujianika ujinga wao.
Pia chadema nilazima ijue Mama samia hayupo madarakani kwa tiketi ya chadema Bali ya chama cha Mapinduzi na Anatekeleza Ilani ya CCM na siyo ya chadema.
Hii tabia ya kutaka Serikali ifuate Mawazo yao ni Ujinga wa kupindukia ndio maana walikua wana Susa Susa bungeni heti Serikali imekataa kufuta wanayoyataka.
Tuache ujinga wa kisiasa tena siasa uchwara kama hizi za kitoto kabisa hakuna Serikali inayofanya mambo kwa kushinikizwa na watu au kikundi cha watu hiyo haitakuwa Serikali.
Sahihi kabisa mkuu huzikwa na viapo vyake. Na haiwezekani Rais kuridhi viapo vya mtangulizi wake. Hata mmoja wa wanandoa anapofariki na aliyebeki akaoa hawezi kutumia kiapo Cha marehemu Bali huapa upya.Kuna mtu ameweka kifungu kinasema Rais atakayeshika madaraka baada ya Rais Kufariki hawezi kutengua uteuzi.
Je Ina maana hata mtu akivuruga wizarani hataweza kutenguliwa nafasi yake?
Mimi Nimeelewa kuwa Endapo Rais wa Kuchaguliwa hayupo kwenye Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania hivyo Makamu, Spika au Jaji kushika nafasi yake, haea wanaoshika haya mamlaka ndio hawawezi kuvunja baraza la mawaziri, kuvunja bunge, kutumbua.
Lakini kama Rais wa Kuchaguliwa kafatiki, basi anayeapishwa kuwa Rais atapaswa kuanza Upya na ndio maana anateua Makamu Wa Rais na Kuendelea.
Mungu Mtunze Rais Samia Suluhu na Makamu wake Philip Mpango.
Sawa mkuuWanataka nn kwani?.Katiba siyo yao wanalalamika nn? Wao waendelee kudai yao wanayodaigi bana.
Ndiyo ilivyo, mbona mama ameshaanza kuteua kama kawa!Kuna mtu ameweka kifungu kinasema Rais atakayeshika madaraka baada ya Rais Kufariki hawezi kutengua uteuzi.
Je Ina maana hata mtu akivuruga wizarani hataweza kutenguliwa nafasi yake?
Mimi Nimeelewa kuwa Endapo Rais wa Kuchaguliwa hayupo kwenye Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania hivyo Makamu, Spika au Jaji kushika nafasi yake, haea wanaoshika haya mamlaka ndio hawawezi kuvunja baraza la mawaziri, kuvunja bunge, kutumbua.
Lakini kama Rais wa Kuchaguliwa kafatiki, basi anayeapishwa kuwa Rais atapaswa kuanza Upya na ndio maana anateua Makamu Wa Rais na Kuendelea.
Mungu Mtunze Rais Samia Suluhu na Makamu wake Philip Mpango.
Asilimia kubwa ya waliokamatwa Katavi kwa "sherehe" ni Wasukuma. Labda kama kuna kabila la Wachakuma huko Katavi.Chadema ni chama cha wachaga.
Siku hizi wameanzisha vita na kanda ya ziwa.
ushauri wenu hakuzingatia katiba ya JMT 1977 (2005) na unashindwa kutofautisha kati ya rais mteule anayetokana na uchaguzi na kaimu rais anayetikana na sababu zingine isipokuwa uchaguzi.
Sahihi kabisa mkuu huzikwa na viapo vyake. Na haiwezekani Rais kuridhi viapo vya mtangulizi wake. Hata mmoja wa wanandoa anapofariki na aliyebeki akaoa hawezi kutumia kiapo Cha marehemu Bali huapa upya.
Kuna mtu ameweka kifungu kinasema Rais atakayeshika madaraka baada ya Rais Kufariki hawezi kutengua uteuzi.
Je Ina maana hata mtu akivuruga wizarani hataweza kutenguliwa nafasi yake?
Mimi Nimeelewa kuwa Endapo Rais wa Kuchaguliwa hayupo kwenye Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania hivyo Makamu, Spika au Jaji kushika nafasi yake, haea wanaoshika haya mamlaka ndio hawawezi kuvunja baraza la mawaziri, kuvunja bunge, kutumbua.
Lakini kama Rais wa Kuchaguliwa kafatiki, basi anayeapishwa kuwa Rais atapaswa kuanza Upya na ndio maana anateua Makamu Wa Rais na Kuendelea.
Mungu Mtunze Rais Samia Suluhu na Makamu wake Philip Mpango.
Inasemekana Mama ametishwa na sukuma gang Kama atawatema watampigia kura ya kutokuwa na imani naye bungeni kanywea , for sure hakuna chochote kitakachobadilika .Utawala wa UJANJA UJANJA huu, dalili zimeonekana tangu awali. Hakutakuwa na tofauti yeyote na yule MHALIFU Mwendazake.
Mkuu viapo vinavyozungumziwa hapa NI vya kikatiba mf Waziri mkuu, Mawaziri na manaibu Waziri. Hao mabalozi, makatibu wakuu nk viapo vyao NI vya kikanuni.Kwa hiyo Mabalozi wote watakuja kuapa upya? Mbona wako Mabalozi wengi tu ambao waliapa kwa awamu ya nne na waliendelea na kazi zao awamu ya tano bila kuapa.