Kwani hawa wanaitambua hii serikali iliyopo madarakani mbona siwaelewi.
Ila katiba mbona imefuatwa au lazima tuyumbishe gari kwanza [emoji23][emoji23] hlf tuendeleeView attachment 1737654View attachment 1737657View attachment 1737655View attachment 1737656View attachment 1737658
Mkuu, punguza upotoshaji. Ibara uliyoweka hapo inahusu kukaimu nafasi ya Rais, sio madaraka ya Rais aliyepatikana kupitia moja ya mambo kma kifo. Rais Samia ni Rais na si kaimu Rais.
Kama ni uamuzi wake kubaki na timu hii, aiteue na kuiapisha. Tumalize hili na kusonga.