CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

Mbona una-quote vifungu visivyohusiana na hali ya sasa? Tunajadili Makamu wa Rais ambaye anakuwa Rais baada ya kifo cha Rais aliye tangulia. Rais mpya!
Leo umepata jibu kuwa mnyika kawaingiza Chaka?
 
Mkuu viapo vinavyozungumziwa hapa NI vya kikatiba mf Waziri mkuu, Mawaziri na manaibu Waziri. Hao mabalozi, makatibu wakuu nk viapo vyao NI vya kikanuni.

Haya Mama keshamaliza,una la kusema tena.
 
Mh. Nyani, I will repeat myself! Ukipanic ndo utaonekana unateseka, au nimekosea ndugu yangu?! You just need to relax! He is gone, but life goes on!
Panic, sijui kuteseka, and other bullshit like that viko kwenye imaginations zenu tu.
 
Back
Top Bottom