Wenyewe ndio wameona bonge la point [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Barua imesema ofisi ya waziri mkuu mstaafu sasa wanashtuka nini kutumika nembo ya taifa. Au ofisi ya waziri mkuu ni mali ya chama hivyo inapaswa itumie nembo ya chama? Na kuzungumzia uchaguzi wa Chadema siyo kosa, labda yeye Sumaye kaamua atoe maoni kama waziri mkuu mstaafu na siyo kama mwanachadema na ndio maana katumia nembo ya taifa.
hawa jamaa hawafai hata kupewa kijiji kuongozaBarua imesema ofisi ya waziri mkuu mstaafu sasa wanashtuka nini kutumika nembo ya taifa. Au ofisi ya waziri mkuu ni mali ya chama hivyo inapaswa itumie nembo ya chama? Na kuzungumzia uchaguzi wa Chadema siyo kosa, labda yeye Sumaye kaamua atoe maoni kama waziri mkuu mstaafu na siyo kama mwanachadema na ndio maana katumia nembo ya taifa.
Tunasubiri mvua za matusi ya kizaramo kutoka chama cha demokrasia na maendeleo ya misukuleChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimeshtushwa kuona mwanachama wake ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akitumia nembo ya taifa katika barua yake ya kuitisha mkutano na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika leo katika jengo la LAPF, lililopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema kuwa chama hicho hakina taarifa za mkutano huo na kwamba wameona barua hiyo mitandaoni kama ilivyokuwa kwa wananchi wengine.
Tunaona barua hiyo katika mitandao kama wengine, tumeshtushwa kuona barua yenye nembo ya Taifa inatumika kuitisha mkutano wa kiongozi wetu.
Sumaye anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo, mkutano ambao umeitishwa siku chache baada ya kushindwa katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, ambapo licha ya kuwa mgombea pekee, alipata kura 48 za hapana kati ya kura 76 zilizopigwa.
Watu wakiendelea kujiuliza kiongozi huyo atazungumza nini, barua ya kuitisha mkutano huo imeeleza kuwa lengo la mkutano huo ni kuzungumzia masuala ya siasa nchini na mwenendo wa uchaguzi wa CHADEMA unaoendelea.
Amekuwa mwanachama wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka minne sasa, ambapo alijiunga Agosti 2015 wakati wa harakati cha uchaguzi mkuu.
Kiongozi huyo pia amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa, huku akisema kuwa lengo la kuchukua fomu hiyo ni kuuonesha ulimwengu kuwa ndani ya CHADEMA kuna Demokrasia, na sio kweli kwamba nafasi ya mwenyekiti haiguswi.
Chanzo: Swahili Times
Ushahidi WA hayo kabla ya kupigiwa kura ya hapana.Mara nyingi tu!
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimeshtushwa kuona mwanachama wake ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akitumia nembo ya taifa katika barua yake ya kuitisha mkutano na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika leo katika jengo la LAPF, lililopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema kuwa chama hicho hakina taarifa za mkutano huo na kwamba wameona barua hiyo mitandaoni kama ilivyokuwa kwa wananchi wengine.
Tunaona barua hiyo katika mitandao kama wengine, tumeshtushwa kuona barua yenye nembo ya Taifa inatumika kuitisha mkutano wa kiongozi wetu.
Sumaye anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo, mkutano ambao umeitishwa siku chache baada ya kushindwa katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, ambapo licha ya kuwa mgombea pekee, alipata kura 48 za hapana kati ya kura 76 zilizopigwa.
Watu wakiendelea kujiuliza kiongozi huyo atazungumza nini, barua ya kuitisha mkutano huo imeeleza kuwa lengo la mkutano huo ni kuzungumzia masuala ya siasa nchini na mwenendo wa uchaguzi wa CHADEMA unaoendelea.
Amekuwa mwanachama wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka minne sasa, ambapo alijiunga Agosti 2015 wakati wa harakati cha uchaguzi mkuu.
Kiongozi huyo pia amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa, huku akisema kuwa lengo la kuchukua fomu hiyo ni kuuonesha ulimwengu kuwa ndani ya CHADEMA kuna Demokrasia, na sio kweli kwamba nafasi ya mwenyekiti haiguswi.
Chanzo: Swahili Times
Kwa hiyo, naye Sumaye angegombea UENYEKITI CHADEMA TAIFA, kama MGOMBEA BINAFSI?Nafikri ifike mahali serikali ikubali wazo la mgombea binafsi,, hivi vyama vimezidi ujinga bora mtu uongozwe na mkeo!
Bora uolewe labda utakua na adabu.
Basi rafiki, punguza basi kuponda chama chetu sawa eh!Si bora ungeandika lini nasherekea miaka mingi ya ndoa.. hilooo jaribu lingine
alitumia nembo ya serikali kwa sababu alitumwa na serikali kwa kazi maalum iliyomshindaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimeshtushwa kuona mwanachama wake ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akitumia nembo ya taifa katika barua yake ya kuitisha mkutano na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika leo katika jengo la LAPF, lililopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema kuwa chama hicho hakina taarifa za mkutano huo na kwamba wameona barua hiyo mitandaoni kama ilivyokuwa kwa wananchi wengine.
Tunaona barua hiyo katika mitandao kama wengine, tumeshtushwa kuona barua yenye nembo ya Taifa inatumika kuitisha mkutano wa kiongozi wetu.
Sumaye anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo, mkutano ambao umeitishwa siku chache baada ya kushindwa katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, ambapo licha ya kuwa mgombea pekee, alipata kura 48 za hapana kati ya kura 76 zilizopigwa.
Watu wakiendelea kujiuliza kiongozi huyo atazungumza nini, barua ya kuitisha mkutano huo imeeleza kuwa lengo la mkutano huo ni kuzungumzia masuala ya siasa nchini na mwenendo wa uchaguzi wa CHADEMA unaoendelea.
Amekuwa mwanachama wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka minne sasa, ambapo alijiunga Agosti 2015 wakati wa harakati cha uchaguzi mkuu.
Kiongozi huyo pia amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa, huku akisema kuwa lengo la kuchukua fomu hiyo ni kuuonesha ulimwengu kuwa ndani ya CHADEMA kuna Demokrasia, na sio kweli kwamba nafasi ya mwenyekiti haiguswi.
Chanzo: Swahili Times
Na wakutoka mikoa mingine unawashauri nini?Siasa za kibongo kichefuchefu.
.................Hiki chama kibadirishe jina kiondoe hilo neno demokrasia waweke neno chagga.
Na hili lingetokea tu kwa hali ya sasa. Anyway hawa walishatoa mchango wao kwenye taifa wakijitoa ni faida zaidi. Yanatakiwa mawazo mapya sana kwa kizazi chetu, dunia inakwenda kasi sana.Chukulia hapo ndio mtu keshapewa uenyekiti wa taifa alafu anaitisha press kjitoa chamani!
Cdm wamerisk katika hili lakini ni calculated risk na huenda 'ikawalipa' badala wa kuwagharimu. Time will tell
heshima??? mbona njie mlimnyanganya tangia 2015 octoba wachrni utani sie hatuko hivyoSumaye ni Waziri Mkuu Mstaafu mpeni heshima
Na wakutoka mikoa mingine unawashauri nini?
Gamujage nokho nyanda! Unafikri watu kutapatapa kote unafikri wanatafuta nini kama siyo kugombea nafasi? Mimi sikumaanisha kwenye vyama!Kwa hiyo, naye Sumaye angegombea UENYEKITI CHADEMA TAIFA, kama MGOMBEA BINAFSI?