CHADEMA yasusia Uchaguzi Wabunge wa EALA

Tumewaachia ili mnenepe
 
U
Umewaona wakipokea ruzuku toka serikalini au unabwabwaja tu.
 
Mbunge wa mwendazake huyo.
 
Ni wapi wamekinga bakuli la njaa ya ruzuku? Sasa kama mnajua tayari wabunge wote watatoka CCM kwa nini mpoteze muda na pesa kufanya uchaguzi? Si wangeteuliwa tu?

Amandla...
 
Lissu ana roho mbaya sana, kwa kuwa yeye hana cheo chochote, anafanya juu chini na wenzake wakose, hata kesi ya akina mdee ni yeye ndio anashinikiza ili wakose ubunge, kwenye bunge la Afrika mashariki pia amezuia ili wakose wote

Kama huo ndio ujinga wa Lisu, tunahitaji wajinga wengi wa aina ya Lisu. CDM hawana Muda wa kushiriki siasa za kishenzi.
 
Hivi maana ya kususa ni ipi hasa.Mnyika ametoa sababu.Sasa huko kususa kunaingiaje kwenye hoja hizo?Using'ang'anize mambo.Hawajateua wagombea kwa sababu zao.Basi.
 
Lissu ana roho mbaya sana, kwa kuwa yeye hana cheo chochote, anafanya juu chini na wenzake wakose, hata kesi ya akina mdee ni yeye ndio anashinikiza ili wakose ubunge, kwenye bunge la Afrika mashariki pia amezuia ili wakose wote
Wakose wote kivipi wakati yeye hagombei?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…