Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sidhan kama atajali.Taarifa hii kabambe na ya Kusisimua imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kwenye Kongamana, Wanawake la Kidunia lilofanyika Kitaifa Mlimani City D'Salaam.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Jambo hili likifanyika litatengeneza rekodi ya Dunia kwa Rais wa Tanzania kuwa Kiongozi wa kwanza wa Ngazi ya Juu Duniani Kunyang'anywa Tuzo aliyopewa kwa makosa ya kupuuza Demokrasia, na itakuwa Fedheha kwake binafsi na kwa Chama Chake.
Habari Kamili hii hapa
View attachment 3263998View attachment 3263999
Who cares?Taarifa hii kabambe na ya Kusisimua imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kwenye Kongamana, Wanawake la Kidunia lilofanyika Kitaifa Mlimani City D'Salaam.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Jambo hili likifanyika litatengeneza rekodi ya Dunia kwa Rais wa Tanzania kuwa Kiongozi wa kwanza wa Ngazi ya Juu Duniani Kunyang'anywa Tuzo aliyopewa kwa makosa ya kupuuza Demokrasia, na itakuwa Fedheha kwake binafsi na kwa Chama Chake.
Habari Kamili hii hapa
View attachment 3263998View attachment 3263999
HaweziSidhan kama atajali.
Unamnyanganyaje mtu uliyempa, labda watengue.Taarifa hii kabambe na ya Kusisimua imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kwenye Kongamana, Wanawake la Kidunia lilofanyika Kitaifa Mlimani City D'Salaam.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Jambo hili likifanyika litatengeneza rekodi ya Dunia kwa Rais wa Tanzania kuwa Kiongozi wa kwanza wa Ngazi ya Juu Duniani Kunyang'anywa Tuzo aliyopewa kwa makosa ya kupuuza Demokrasia, na itakuwa Fedheha kwake binafsi na kwa Chama Chake.
Habari Kamili hii hapa
View attachment 3263998View attachment 3263999
Swali hili hata mimi nimejiulizaUnamnyanganyaje mtu uliyempa, labda watengue.
Sijui mwamba alikojificha anajisikiaje!Anyang'anywe tuzo ya Mwamba, naunga mkono hoja.
๐๐๐๐, Swali ni ipi, Dar, Dodoma au Kizimkazi?
Taarifa watu wanazo yupo wapi...๐๐๐๐, Swali ni ipi, Dar, Dodoma au Kizimkazi?
Good movie, najua kumnyang'anya haiwezekani, lakini watangaze hadharani arudishe ile tuzo maana walimpa wakidhani anastahili kumbe hastahili. Na waweke wazi kwanini walimpa na kwanini wanamtaka airudishe.Taarifa hii kabambe na ya Kusisimua imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kwenye Kongamana, Wanawake la Kidunia lilofanyika Kitaifa Mlimani City D'Salaam.
Jambo hili likifanyika litatengeneza rekodi ya Dunia kwa Rais wa Tanzania kuwa Kiongozi wa kwanza wa Ngazi ya Juu Duniani Kunyang'anywa Tuzo aliyopewa kwa makosa ya kupuuza Demokrasia, na itakuwa Fedheha kwake binafsi na kwa Chama Chake.
Habari Kamili hii hapa
View attachment 3263998View attachment 3263999
Bali bado haijafahamika jambo hilo litatekelezwa lini na wala mbinu ambayo Chama hicho kitatumia kumnyang'anya Mh Rais Tuzo hiyo
Bora abakie na ile yakina Joti na Mpoki,Makatuni wa BongoNi kutoa tangazo rasmi la kutoitambua tena hiyo tuzo. Hii ndio maana yake kwa wasiolewa.
Every oneWho cares?
Malipo ni Hapa hapaNi kama yeye Bi Chura alivyomnyang'anya Padri hadhi yake ya Ubalozi..PERIOD
Huyo jamaa empty sana kichwani,hafai kuwa kiongozi,anavyoropoka kupitia kinywa ndivyo aropokavyo kifikraHawezi
Lunatics on thr one and twoโฆ. DJ chakandumuzโฆ. Mzee wa kulowesha mic
Squirting from the mouth