gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Tuzo ni ya kipuuzi,aliichukua basi tu,4R..vitenge mkachoma moto,nyie ni wapuuzi wa viwango vya juuSwali lako ni la kipuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzo ni ya kipuuzi,aliichukua basi tu,4R..vitenge mkachoma moto,nyie ni wapuuzi wa viwango vya juuSwali lako ni la kipuuzi
HayaTuzo ni ya kipuuzi,aliichukua basi tu,4R..vitenge mkachoma moto,nyie ni wapuuzi wa viwango vya juu
Akili matope hizo, yaani Rais apokee kitu hadharani asicho na time nacho?Useless tantrums,kuipokea kwenyewe alikua ana-socialise tu,hana time nayo
Shuleni ulienda kumwagilia maua au kufagia tuu? Mbona mgumu kuelewa kiasi cha kutisha!N marais wangapi hapa Tz au hata duniani wana tuzo kutoka upinzani? Kwahy hao ambao hawana kwahy hawana heshima?
Inasikitisha sana mkuu 😂Shuleni ulienda kumwagilia maua au kufagia tuu? Mbona mgumu kuelewa kiasi cha kutisha!
PR tu..Akili matope hizo, yaani Rais apokee kitu hadharani asicho na time nacho?
Du chadema wataenda kuiba tuzo ikulu🤣🤣🤣 chadema waache comedy fanyeni siasaTaarifa hii kabambe na ya Kusisimua imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kwenye Kongamana, Wanawake la Kidunia lilofanyika Kitaifa Mlimani City D'Salaam.
Jambo hili likifanyika litatengeneza rekodi ya Dunia kwa Rais wa Tanzania kuwa Kiongozi wa kwanza wa Ngazi ya Juu Duniani Kunyang'anywa Tuzo aliyopewa kwa makosa ya kupuuza Demokrasia, na itakuwa Fedheha kwake binafsi na kwa Chama Chake.
Habari Kamili hii hapa
View attachment 3263998View attachment 3263999
Bali bado haijafahamika jambo hilo litatekelezwa lini na wala mbinu ambayo Chama hicho kitatumia kumnyang'anya Mh Rais Tuzo hiyo
Nawashauri waanzishe na mchakato wa kumzuia asijipachike vyeo asivyostahiki kama udaktari na uungu mtuTaarifa hii kabambe na ya Kusisimua imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kwenye Kongamana, Wanawake la Kidunia lilofanyika Kitaifa Mlimani City D'Salaam.
Jambo hili likifanyika litatengeneza rekodi ya Dunia kwa Rais wa Tanzania kuwa Kiongozi wa kwanza wa Ngazi ya Juu Duniani Kunyang'anywa Tuzo aliyopewa kwa makosa ya kupuuza Demokrasia, na itakuwa Fedheha kwake binafsi na kwa Chama Chake.
Habari Kamili hii hapa
View attachment 3263998View attachment 3263999
Bali bado haijafahamika jambo hilo litatekelezwa lini na wala mbinu ambayo Chama hicho kitatumia kumnyang'anya Mh Rais Tuzo hiyo
Nazidi kujua sababu kwanini nguvu kubwa ilitumika kumblock Lissu asiwe Mwenyekiti wa CDM. Hii Kali🤣🤣🤣🤣🤣🤣Taarifa hii kabambe na ya Kusisimua imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kwenye Kongamana, Wanawake la Kidunia lilofanyika Kitaifa Mlimani City D'Salaam.
Jambo hili likifanyika litatengeneza rekodi ya Dunia kwa Rais wa Tanzania kuwa Kiongozi wa kwanza wa Ngazi ya Juu Duniani Kunyang'anywa Tuzo aliyopewa kwa makosa ya kupuuza Demokrasia, na itakuwa Fedheha kwake binafsi na kwa Chama Chake.
Habari Kamili hii hapa
View attachment 3263998View attachment 3263999
Bali bado haijafahamika jambo hilo litatekelezwa lini na wala mbinu ambayo Chama hicho kitatumia kumnyang'anya Mh Rais Tuzo hiyo
Hapana,ni kusimamia unachokiamini kwa vitendo!Vitu vingine ni kuchochea chuki za kipumbavu
Umechanganya mambo mengi kwenye andiko lako, Hoja ya uzi huu ni Samia kunyang'anywa Tuzo aliyopewa na Bawacha, kwahiyo unapaswa pia kufahamu kwamba Tuzo ile hakupewa na Mbowe.Duuh, hii kali kwelikweli....
Mimi kauli hii naitazama ktk engo nyingine kabisa....
Ninachokiona ni kuwa, huu uongozi mpya wa CHADEMA utakuwa umeona na kugundua mambo mengi na ya hovyo sana yaliyofanywa na uongozi wa Mwenyekiti aliyepita ndugu Freeman Mbowe na watu wake...
Nakumbuka, kuna wakati Tundu Lissu akihojiwa na chombo fulani cha habari nilimwona na kumsikia akijibu swali kuhusu mambo ya fedha za CHADEMA kwa kusema;
"....hali ya fedha ya chama ni mbaya sana, msiniulize nimeona na kukuta nini...."
Sasa tukiitafakari kauli hiyo☝🏻☝🏻 kuunganisha matukio haya pamoja na dhamira ya kumnyang'anya Samia Tuzo aliyopewa mwaka fulani na kina mama hawahawa wa CHADEMA chini ya Freeman Mbowe, naona wazi kuwa kuna siku tutafunuliwa na kuona uchafu mwingi ulioratibiwa na kufanyika chini ya uongozi wa Freeman Mbowe...
Na haya ndiyo madhara ya kung'ang'ania na kukaa kwenye uongozi wa taasisi ya umma kwa muda mrefu mpaka ufurushwe kwa kelele na marungu...
Na tutaelewa ni kwanini huyu jamaa (Freeman Mbowe) alikosa busara na hekima ya kuachia uongozi wa chama kwa hiari ili kulinda heshima yake pamoja na kupewa ushauri toka kila kona na watu wa heshima. Badala yake kwa kiburi na kashfa kwa waliojitokeza kugombea naye, akachagua njia ya mapambano...
Sasa atavuna alichopanda maana binafsi naona kila dalili kuwa yajayo kwake yatakuwa mengi ya kumshushia hadhi....
Na hiki ndicho kinachoisumbua CCM kukataa kuachia madaraka ya uongozi wa nchi kwa njia za kidemokrasia na kwa hiari badala yake wanaonesha kila dalili kuchagua njia ya mapambano ili walazimishwe kuondoka kwa nguvu....
Hii yote ni kwa sababu viongozi hawa wa CCM na serikali yao wamekaa madarakani kwa muda mrefu sana kiasi cha kudhani na kuamini kuwa nchi hii ni mali yao binafsi na wanaweza kufanya chochote na lolote kwa yeyote na kwa chochote...
Wanajidanganya sana maana watatoweka kama moto wa majani uwakavyo na ghafla huzima...!
Hawa CCM wameifanyia nchi hii na wananchi wa nchi hii kila aina ya uchafu na ujambazi usioelezeka. Wana hofu na woga kwamba, tukitoka sisi wakaingia wengine wasiotujua itakuwaje. Si tutaishia jela..?
Hakika, HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA. Mwisho wao upo, umefika na utawapata vilivyo. Mungu hadhihakiwi, watavuna walichopanda. Wamepanda uharibifu, watavuna matunda ya uharubifu na uovu wao...!!
Hapana unatakiwa ufiche uadui ili kushindaHapana,ni kusimamia unachokiamini kwa vitendo!
Yes, nimesema mengi, lakini yako connected na hoja kuu "Bi Samia Suluhu Hassan kunyang'anywa tuzo". Nisome kwa makini utaelewa...Umechanganya mambo mengi kwenye andiko lako
Nimo mulemule, sijatoka nje ya mada. Rudia kunisoma tena, utaelewa...Hoja ya uzi huu ni Samia kunyang'anywa Tuzo aliyopewa na Bawacha,
Nisome kwa umakini unielewe...kwahiyo unapaswa pia kufahamu kwamba Tuzo ile hakupewa na Mbowe.
Una shida gani kwani ndugu Erythrocyte? Ni usichokielewa..?Mada zinazohusu hela za Chadema ziko nyingi mno humu jf hakuna haja ya kuzileta tena kwenye uzi huu