Pre GE2025 CHADEMA yatangaza kumnyang'anya Rais Samia Tuzo aliyopewa na BAWACHA

Pre GE2025 CHADEMA yatangaza kumnyang'anya Rais Samia Tuzo aliyopewa na BAWACHA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA tuwe wabunifu tubuni na tuzo tuiite "tuzo ya Kinjekitile" ya kuwapa Walaghai wanaotuongoza na kutuuza uarabuni.

Vipi hapo Makamanda?🤔
 
Kwamaana hiyo chadema huwa inakurupuka kufanya mambo ndo maana ikakurupuka kumpa tuzo?
 
Taarifa hii kabambe na ya Kusisimua imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kwenye Kongamana, Wanawake la Kidunia lilofanyika Kitaifa Mlimani City D'Salaam.

Jambo hili likifanyika litatengeneza rekodi ya Dunia kwa Rais wa Tanzania kuwa Kiongozi wa kwanza wa Ngazi ya Juu Duniani Kunyang'anywa Tuzo aliyopewa kwa makosa ya kupuuza Demokrasia, na itakuwa Fedheha kwake binafsi na kwa Chama Chake.

Habari Kamili hii hapa

View attachment 3263998View attachment 3263999

Bali bado haijafahamika jambo hilo litatekelezwa lini na wala mbinu ambayo Chama hicho kitatumia kumnyang'anya Mh Rais Tuzo hiyo
Mazuzu bwana?
 
Hiyo kitu waachane nayo kabisa haina maana yoyote kwa sasa kazi iliyopo mbele yetu ni kueneza elimu ya No Reform No Election.
 
Unamnyanganyaje mtu uliyempa, labda watengue.
Ni adabu kubwa maana tuzo hiyo inakua valueless na hilo ni muhimu sana kwenye rekodi za chama, taifa na kwake mwenyewe.
Kutokana na mambo mengi makubwa yanatokea na kuonekana ni kawaida kwa akili ndogo hata hili wanaweza kuliona ni dogo lakini ni baya sana na rekodi chafu kwa aliyepokea hapo awali.
 
Kwamba wakati mnaitoa mlikuwa mmechanganyikiwa au?
Chadema mna vituko sana 😂
 
Ni adabu kubwa maana tuzo hiyo inakua valueless na hilo ni muhimu sana kwenye rekodi za chama, taifa na kwake mwenyewe.
Kutokana na mambo mengi makubwa yanatokea na kuonekana ni kawaida kwa akili ndogo hata hili wanaweza kuliona ni dogo lakini ni baya sana na rekodi chafu kwa aliyepokea hapo awali.
Kwan hy tuzo ina thamani gn kwa rais
 
Samia ampe msaidizi wake hiyo tuzo awarudishieni,wazee wa matukio
Haisaidii, jamaa yangu mmoja Seneti ya chuo kikuu ilimfutia degree yake hakurudisha hivyo vyeti lakini ni valueless hadi leo na moyo wake ulihudhunika mpaka leo hii ingawa anazo degree zingine vyuo tofauti.
 
Kwan hy tuzo ina thamani gn kwa rais
Hujui tuu, hiyo tuzo ni ya thamani sana kuliko hizo PhD anazopewa huko Korea mara India nk.
Tuzo hiyo ilikuwa inampa heshima kuwa mwana demokrasia kwa vitendo ambaye Wapinzani wake walimtambua. Hapa kavuliwa John hadharani!
Chadema kweli sasa ina viongozi wa kweli na wanasimamia ukweli bila woga.
 
N marais wangapi hapa Tz au hata duniani wana tuzo kutoka upinzani? Kwahy hao ambao hawana kwahy hawana heshima?
 
Haisaidii, jamaa yangu mmoja Seneti ya chuo kikuu ilimfutia degree yake hakurudisha hivyo vyeti lakini ni valueless hadi leo na moyo wake ulihudhunika mpaka leo hii ingawa anazo degree zingine vyuo tofauti.
Useless tantrums,kuipokea kwenyewe alikua ana-socialise tu,hana time nayo
 
Back
Top Bottom