CHADEMA Yatangaza makubwa kwenye Hukumu ya viongozi wake wakuu Machi 10, Jumanne

Hukumu hiyo imetoka! Kinukisheni basi kama mna jeuri! Pumbavu!

Niliwaambia kuwa alitaka kuwafunga .. na the whole system was against point blank na walikuwa kwenye hili Hawako naye
Hadi saa sita mchana msimamo ilikuwa Huo Huo anataka kuwafunga ili “uchaguzi uwe rahisi “.,
“System Halisi” ilikua imeshajipanga kumtema LIVE @cold cou kama Abdul J Barua inaandikwa ya kujiuzulu unasainishwa na Gumba at gpoint.... Naona kawapiga fine ... Usalama wa nchi ni muhimu sanaa kuliko mtu yeyote

Android
 
Mbona ngoma mbichi ,unafahamu jinai inakuzuia kugombea nafasi ya uongozi?,tulia utaelimika na kujua kifuatacho
 
Mbona ngoma mbichi ,unafahamu jinai inakuzuia kugombea nafasi ya uongozi?,tulia utaelimika na kujua kifuatacho
Tunawatakia Heri .....Wafanye watakacho .....wabobezi kazi kuchambua na kushauri .....ataki shauri yake ...ila ikionekana atatugharimu Nchi Italindwa ...
 
Kwani wewe ni mfuasi wa Chadema?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kubwabwaja vitu usivyovijua dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini! Nimekuonea huruma hadi nikataka kutoa machozi!
 
Kuna independent Judicial System Tanzania kama Kenya?

Mavi matupu!

Tunawasoma tu mlivyo wapumbavu na liserikali lenu la kiboya!
Acha kuloloma mtandaoni pumbavu weweee! Nenda Kisutu ukawachomoe hao mahakimu kama una ubavu. Kelele tu kama mtoto wa chekechekea!
 
Acha kuloloma mtandaoni pumbavu weweee! Nenda Kisutu ukawachomoe hao mahakimu kama una ubavu. Kelele tu kama mtoto wa chekechekea!

Kwa Judicial System iliyo mavi namna hii?

Shame on yall!

Yaani judicial system ipo bottom of the toilet everybody is shitting on it!

Mtu wa ccm anampigia simu Simba anamwambia funga hao na yeye anafunga,such a shame!

Kanyea Bunge,sasa hivi ananyea Mahakama,flawed govt,the whole machinery do not work!
 
So!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…