Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,148
wana hofu na mabeberu kwa hiyo watawaachia huruView attachment 1382089
View attachment 1382090
Kwa Mujibu wa Kalenda ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , tarehe 10 March ndio siku ya waliopewa kesi ya mauaji ya Akwilina kuhukumiwa , kwa maana ya kufungwa jela ama kuachiwa huru na kusafishwa dhidi ya tuhuma za kuundwa na wanadamu zenye malengo ya kisiasa.
Hivyo basi niwaombe Makamanda wote popote mlipo kusimama imara sana bila kutikisika kwa siku ya kesho na kila mwenye upenyo kujitahidi kufika Mahakamani mapema mno kuja kushuhudia dhuluma dhidi ya haki .
Mandela pamoja na kufungwa kwa miaka 27 kwenye gereza la kikatiri lakini mwisho wa siku alikuja kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa na kufutilia mbali ubaguzi wa rangi nchini mwake.
View attachment 1382102
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Hawawezi kufungwa. Nimefuatilua ushahidi wa upande wa mashtaka kuanzia siku ya kwanza, haujitoshelezi kuwatia hatanı kwa mashtaka waliyowafungulia. Ushahidi wa askari polisi ni wa kukinzana.Mimi natamani wafungwe ili wakapate akili huko maana wameshindwa kutushawishi na kutuunganisha watanzania kuiondosha hii takataka inayoitwa CCM labda wakitoka huko watakuwa na akili siasa chafu za CCM hazihitaji MARIDHIANO ni jino kwa jino. Ukipigwa shavu la kusho wewe ruka kichwa tu!
Tuombee hilo mkuu, cha muhimu zaidi hii taarifa ya Mambosasa isije kuhamisha raia wakajikita kuijadili zaidi na kusahau kupima hukumu itakayotolewa kesho.Sijaona ushahidi unao watia hatianı. Mwenendo wa kesi ulitawaliwa na ushahidi unao kinzana. Natabiri itakuwa discussed in favour ya viongozi wa CDM
Aaaah haswaaa, yaani kukosa bando bora ukose mlo wa siku moja ila upate bandoJamani kuna nini kwani?
Maana hii nchi ukikosa bando tu vitu kibao vinakupita
Ukimfahamu Jaji Mkuu wa Tanzania utagundua kwamba ndiye jaji mkuu duni kabisa kwa sasa duniani , akifuatiwa kwa karibu na jaji mkuu wa Nchi ya ZanzibarWakihukumiwa adhabu yoyote mf. kufungwa japo watakata rufaa lkn itakuwa ni aibu kubwa sana kwa mhimili husika kwenye historia ya tanzania