View attachment 1382089
View attachment 1382090
Kwa Mujibu wa Kalenda ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , tarehe 10 March ndio siku ya waliopewa kesi ya mauaji ya Akwilina kuhukumiwa , kwa maana ya kufungwa jela ama kuachiwa huru na kusafishwa dhidi ya tuhuma za kuundwa na wanadamu zenye malengo ya kisiasa.
Hivyo basi niwaombe Makamanda wote popote mlipo kusimama imara sana bila kutikisika kwa siku ya kesho na kila mwenye upenyo kujitahidi kufika Mahakamani mapema mno kuja kushuhudia dhuluma dhidi ya haki .
Mandela pamoja na kufungwa kwa miaka 27 kwenye gereza la kikatiri lakini mwisho wa siku alikuja kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa na kufutilia mbali ubaguzi wa rangi nchini mwake.
View attachment 1382102
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE