Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Magufuli hakuwaita ikulu kwenye uchumba anajua hawa wanafungwa ....haiwezekani Tue na watu wanapingana na matakwa ya serikali madarakani.....hawa wanafungwa leo waage makwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kuwafunga kesho mmechelewa, mngewafunga toka mwaka uliopita. Uzuri hata mkiwafunga tunajua anayeagiza wafungwe ni nani. Hivyo matumizi mabaya ya madaraka hayajawahi kuwa suluhu ya haki za wananchi.