CHADEMA Yatangaza makubwa kwenye Hukumu ya viongozi wake wakuu Machi 10, Jumanne

CHADEMA Yatangaza makubwa kwenye Hukumu ya viongozi wake wakuu Machi 10, Jumanne

Kwa namna siasa za CCM zinavyoendeshwa katika kipindi hiki na Katibu wao mkuu amekiri waziwazi kuwa wao CCM wanatumia vyombo vya dola kukandamiza upinzani.

Kwa hiyo ni dhahiri hata hukumu ya mahakana hapo kesho, huna haja kuwa Sheikh Yahya kuitabiri
 
Magufuli hakuwaita ikulu kwenye uchumba anajua hawa wanafungwa ....haiwezekani Tue na watu wanapingana na matakwa ya serikali madarakani.....hawa wanafungwa leo waage makwao

Sent using Jamii Forums mobile app
A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Zipo za juu ambazo zina ukweli kuwa Mbowe ana uwezekano mkubwa wa kwenda jela ila hao wengine wataachiwa huru. Kwa vyovyote vile kesho Mbowe ajiandae kisaikolojia! Ametiwa hatiani kwa kosa la kuamuru maandamano haramu na kusababisha kifo!
 
Kuweka kumbukumbu sawa, kesi inayowakabili si ya mauaji ya Akwilina kama mleta mada anavyotaka kutuaminisha. Tuache kusema uongo hata kwenye vitu ambavyo vipo wazi. Unapotaka serikali au mahakama itende haki basi tujifunze nasi kutenda haki katika kuandika vitu vilivyo sahihi.

Hiki kwenye clip hapa chini ndio kiini cha kesi ya Mbowe na viongozi wenzake

 
Magufuli hakuwaita ikulu kwenye uchumba anajua hawa wanafungwa ....haiwezekani Tue na watu wanapingana na matakwa ya serikali madarakani.....hawa wanafungwa leo waage makwao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mzee Mandela alibambikiwa kesi hivyo hivyo na kufungwa kifungo cha maisha jela............

Hata hivyo baada ya kukaa Jela miaka 27 akatoka na kuwa mwafrika wa kwanza mweusi kuwa Rais wa Afrika Kusini na kuwa binadamu maarufu zaidi kuishi hapa duniani katika karne ya 20.

Kwa hiyo hata mkiwafunga kina Mbowe kwa chuki zenu tu, mjue huko Jela hawatakaa maisha yao yote na watakuja kutoka wakiwa ni watu maarufu zaidi na huyo Jiwe wenu ataishia mahala pabaya sana kutokana na chuki zake na visasi
 
Kuweka kumbukumbu sawa, kesi inayowakabili si ya mauaji ya Akwilina kama mleta mada anavyotaka kutuaminisha. Tuache kusema uongo hata kwenye vitu ambavyo vipo wazi. Unapotaka serikali au mahakama itende haki basi tujifunze nasi kutenda haki katika kuandika vitu vilivyo sahihi.
Waliomuua Akwilina wameshitakiwa kwenye mahakama ipi ?
 
Zipo za juu ambazo zina ukweli kuwa Mbowe ana uwezekano mkubwa wa kwenda jela ila hao wengine wataachiwa huru. Kwa vyovyote vile kesho Mbowe ajiandae kisaikolojia! Ametiwa hatiani kwa kosa la kuamuru maandamano haramu na kusababisha kifo!
Mbowe hajawahi kuogopa kufungwa kwa sababu za kupigania haki , hana haja hata ya kujiandaa kwa chochote , yuko tayari muda mrefu sana
 
Mbowe hajawahi kuogopa kufungwa kwa sababu za kupigania haki , hana haja hata ya kujiandaa kwa chochote , yuko tayari muda mrefu sana
Katika viumbe vilivyoumbwa na Mungu, binadamu ni kiumbe wa ajabu sana. CCM inataka kujaribu ukali wa sumu kwa kuionja.

Kama kuna mtu anadhani watanzania wataendelea kuchezewa milele, ipo siku asiyoijua atawaelewa watanzania hasa wapoje.

Kuna mtu atakuja kuomba ardhi ipasuke ajizamishe lakini ataikosa hiyo fursa.
 
Wakuu!
Sina Mengi lakini nasema kamanda Mbowe Andaa Mrithi Wako Atakae Simamia Chama
Habari hii iwekwe kwenye Kumbukumbu kua Mbowe aandae Mwenyekiti Mpya Wa Chama.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom