CHADEMA Yatangaza makubwa kwenye Hukumu ya viongozi wake wakuu Machi 10, Jumanne

CHADEMA Yatangaza makubwa kwenye Hukumu ya viongozi wake wakuu Machi 10, Jumanne

Mimi naiona hii katika mwonekano tofauti na huo uliouweka hapo wa miaka hiyo ya 80.

Hii ya sasa hivi itachochewa zaidi tokea ndani, kutokana na utawala unaojipa madaraka ya kuwakandamiza watu wake moja kwa moja na kuwafanya mateka wao kwa kuwanyima hata haki ya kuchagua viongozi wanaowataka wao.
Hilo swala lisiingiliwe na hao watoto wadogo kisiasa,wenye papara na utoto mwingi watatusambaratisha.Wapo watu wenye busara kama Mzee Warioba wanaweza wakaisaidia serikali

Mkuu usiombe yatukute,hawa jamaa wanakuja na process yenye procedures zenye vipengere lukuki.
Mwisho wanakupa marks kupima kwa kiasi gani umetekeleza matakwa hayo.
Kenya yaliwakuta sio kwamba it was free lunch.
 
Mbona Dr Mashinji simuoni kwenye hicho kipeperushi au yeye yuko Huru?!

Huu ni mtego mkubwa sana kwa Serikali ya Kidikteta ya Bwana Magufuli!
Dr.Mashinji ni mmoja wa Viongozi wa CDM waloshtakiwa kwa kesi ya kughushi ya mauaji ya Akwilina Acquline....!!
Kama ni kufungwa kwa kosa Hilo itabidi na Mashinji LAZIMA AFUNGWE bila kujali amerudi CCM....!
Ngoja tusubiri kesho MAELEKEZO TOKA JUU....!
 
Waliomuua Akwilina wameshitakiwa kwenye mahakama ipi ?

Unauliza kitu gani ilhali waliachiwa mchana kweupe? Kila mtu anajua na Jiwe anajua walomwua Acqulina ni Mapoliccm na ndiyo maana Serikali ilishiriki kikamilifu katika MAZISHI HAYO pamoja na ahadi ya KUMSOMESHA MDOGO WAKE Acquline Akwilina....!!
 
Labda ujifunge halafu utulie zako sebuleni,pale Kisutu na maeneo jirani haitakuwa rahisi kiasi hicho!
 
Siku zote tumefanya hivyo , hii ni kwa sababu viongozi wote wa chadema ni wafungwa watarajiwa au maiti
Sasa naelewa maana ya maneno aliyoyasema Mbowe kwenye mkutano wa akina mama.

Kwamba anatamani mrithi atoke BAWACHA, maneno hayo yalikuwa na maana ambayo wengi hawakuyawekea uzito unaostahili.
 
Hilo swala lisiingiliwe na hao watoto wadogo kisiasa,wenye papara na utoto mwingi watatusambaratisha.Wapo watu wenye busara kama Mzee Warioba wanaweza wakaisaidia serikali

Mkuu usiombe yatukute,hawa jamaa wanakuja na process yenye procedures zenye vipengere lukuki.
Mwisho wanakupa marks kupima kwa kiasi gani umetekeleza matakwa hayo.
Kenya yaliwakuta sio kwamba it was free lunch.
Safari hii tunajitakia wenyewe, kwa kujiona miamba, na wala sio kwa msimamo wowote wa kifilosofia maalum tunayoisimamia.

Lakini naona wameanza kustuka, pengine tutaepuka hii misukosuko; na hasa na hii Corona...! Tutapona kweli?
 
Mimi natamani wafungwe ili wakapate akili huko maana wameshindwa kutushawishi na kutuunganisha watanzania kuiondosha hii takataka inayoitwa CCM labda wakitoka huko watakuwa na akili siasa chafu za CCM hazihitaji MARIDHIANO ni jino kwa jino. Ukipigwa shavu la kusho wewe ruka kichwa tu!
 
Fanya siasa za upinzani lakini kamwe usimtukane JPM msubirini atoke madarakani laasivo mtajuta ... jamaa ni mlipaji visasi mzuri sana na hua anapay in Cash ...Mbowe umemtukana sana mzee jiandae kulipa
 
Ninavyo ona watapigwa fine, na pengine kifungo baridi, kama
1. Hawataruhusiwa kuwapo kwenye hadhara isiyozidi watu ishirini.
2. Kutohutubia mikutano ya hadhara ya zaidi ya watu 50.
3. Hawatazungumzia siasa na wahabari wowote.
4. Hawata shiriki mikutano na kongamano kwa muda wa miaka 2.

Nk..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1580580180137.jpg
 
Back
Top Bottom