Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mungu ibariki Chadema
Uchaguzi je? Au ni wa kudumu?Chadema inao utaratibu wa kikatiba , mbowe akiuawa ( kama inavyopangwa ) , au akifungwa miaka 100 , katiba ya chadema inayo majibu
Uje na miwani yako ushuhudie dhuluma itakayozalisha uasiKesho kisutu bila kukosa.
Huyu mpe yule mruke,..........wazi wazi kabisa, ngoja tuoneHukumu inaandaliwa ikulu kisha itasomwa kwenye ile Kangaroo Court sasa nini itakuwa hatima ya Mashinji aliyeenda kuunga mkono juhudi.
Huyo atawapa hao wanao-dictate hiyo hukumu wakati mgumu sana maanake defection yake wameichagiza at a very wrong time. Let us wait and see.
Nakuibia, mtapigwa kama Suleiman wa Iran na msafara wake. It is a matter of time Ngoja wakusanye ushahidi wa picha nyingi za satteliteNendeni mkavunjwe miguu,halafu mnapelekwa polisi mnawekwa masaa 12,mpaka mkifika hospitali guu limeoza linakatwa
Dada hujui unacho ongea, je wakumbuka kauli ya Bashiru kuhusu democracy?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vema sana.Tuishi kwa amani tupendane jameni....
nakumbusha tu maisha yetu wanadamu ni mafupi mno.....
Mungu anaujua ukweli atatenda miujizaChadema walikosea kumtukana Rais wetu Magufuli
Hatutawasamehe kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamewekwa ndani bila sababu viongozi wa DINI MBAKA LEO kimya
Sembuse hao viongozi wa Chadema kama sheria ni msumeno ndani wanakaa na nchi inakuwa salama
Chezea ndevu sio serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha natabiri kifungo cha nje ( conditional sentence, 2 years)Uje na miwani yako ushuhudie dhuluma itakayozalisha uasi