CHADEMA Yatangaza makubwa kwenye Hukumu ya viongozi wake wakuu Machi 10, Jumanne

Cheap polutics!
Wanahamasishana kwa fuso wakidhani uwingi wao utaitisha mahakama
Waende tu wakapifwe mibomu wakatike miguu
 
The shit has been started by this thread. How comes he threatens the court for the coming verdict? I repeat, let them found guilty and see what stupid people who keep throwing threats will do!!

Kwanini unachukua outside circus unapeleka ndani ya court?

Maneno na ngonjera nje ya court zibako nje

Cha ajabu wewe unaona political circus huko nje unajifanya eti unazichukua na ku-deny fair trial kwa the accused?

Hii akili au matope?Na ndio standard ya kutoa haki?
 
Mimi si influence chochote. Ila kama nina uwezo huo ni jambo jema. Ninachosema, tumechoka na maneno yenu ya vitisho vitisho mtandaoni. Mara amani itatoweka wakihukumiwa. Mara patachimbika mahakamani. Sasa kuliko kutishiatishia, wafungwe ili mzizi wa fitina ukatwe! Tuone kama haya wanayoyaongea watayafanya!
 
sheria haina mwenyewe tusubiri! japo jamaa wakifungwa bila faini option for me itanipendeza sana chama kikuu cha upinzani chali sasa tujenge SGR kwa raha kelele zote mtaani zitakwisha! mi hasira zangu ni vile jazba za kuingia road kibabe binti asie na hatia akapoteza uhai bila wao kujawa na ubinafsi na ulafi na kuingia road leo Akwilina angekuwa hai anakula bata zake kama wao! ukiwa mzazi na kaka au dada wa Akwilina unaweza kunielewa vizuri.
 

Sasa wewe kwa mfano ni hakimu au mzee wa baraza la mahakama na upo kwenye kesi hii!

Then kwasababu watu wanaongea sana mtandaoni,na ukajenga chuki zako kwa hili then unahamisshia chuki zako kwenye sentensing za hawa accused?

Mzee,hivi unaelewa unatakiwa uwe impartial na uwe neutral katika kutoa maamuzi?

Ushabiki wako wa mavyama haya usiingize kwenye kesi za watu maana unagusa maisha personally ya the accused

Dunia haiendi hivyo bwana...itakua judicial system moja ya kifala mno
 
Wengi tu viongozi na wanacha wa chadema wanakesi nao awaite mashujaa,kwanini mashujaa wawe wa kisutu tu?ushujaa ao ue ktk kutafuta haki si wengine waliiba waitwe mashujaa kisa wa chadema,wakumbukwe na wa mbeya,singida,songea je? hermed kala shavu tena?
 
Kw
Chadema walikosea kumtukana Rais wetu Magufuli
Hatutawasamehe kwa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wanashitakiwa kwa kumtukana Rais?.
Au Kama unavodai hukumu itasimama kulipiza kisasi kwa kumtukana Rais?.

Binafsi ningependa wahukumiwe kea kosa wanalotuhumiwa nalo,japo watu wengi wanahisi watakula miezi 6 gerezani kutolewa was tisa huku tayari campein za urahisi zimesha Anza.
 
Kw
Chadema walikosea kumtukana Rais wetu Magufuli
Hatutawasamehe kwa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wanashitakiwa kwa kumtukana Rais?.
Au Kama unavodai hukumu itasimama kulipiza kisasi kwa kumtukana Rais?.

Binafsi ningependa wahukumiwe kea kosa wanalotuhumiwa nalo,japo watu wengi wanahisi watakula miezi 6 gerezani kutolewa was tisa huku tayari campein za urahisi zimesha Anza. Nanye Go,
Kwani wakikusanyika weww unakosa Nini?
 
U Ukizingatia pia kabila la huyu jamaa,wahusika watapata kigugumizi.
 
Molemo, Wajinga tu watafanya ujinga huu,kesi zao walizitafuta wenyewe wapambane nazo.

macson
 
Tujifanye tu wana bahati mimi sio Mzee wa Mahakama. Hakuna impartiality kwa vagabonds!
 
Tujifanye tu wana bahati mimi sio Mzee wa Mahakama. Hakuna impartiality kwa vagabonds!

Mzee unafeli sana!

Basi mtu kama wewe hufai hata kua rais,utaumiza watu sana stupidly!

Naona human wisdom yako ni suspect aisee!
 
Kumbuka UDJ anaucheza na mama yako, lazima tuseme maana mmezidi matusi.
 



Kwa Mujibu wa Kalenda ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , tarehe 10 March ndio siku ya wale jamaa waliopewa kesi ya kizushi ya mauaji ya Akwilina kuhukumiwa , kwa maana ya kufungwa jela ama kuachiwa huru na kusafishwa dhidi ya tuhuma za kuundwa na wanadamu zenye malengo ya kisiasa.

Hivyo basi niwaombe Makamanda wote popote mlipo kusimama imara sana bila kutikisika kwa siku ya kesho na kila mwenye upenyo kujitahidi kufika Mahakamani mapema mno kuja kushuhudia dhuluma dhidi ya haki .

Mandela pamoja na kufungwa kwa miaka 27 kwenye gereza la kikatiri lakini mwisho wa siku alikuja kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa na kufutilia mbali ubaguzi wa rangi nchini mwake.



CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…