Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,922
- 3,252
Akizungumza na waandishi wa habari lo Juni 15, 2026, Mkurugenzi wa Uenezo na Uhusiano wa CHADEMA, Brenda Rupia amesema operesheni Katiba Mpya Free Lissu phase 2 itakayoanza Kanda ya Kusini Juni 18 na kukamilika Juni 29, 2026 Kanda ya Magharibi.
Soma Pia; CHADEMA kuanza na oparesheni Katiba Mpya, FreeTundu Lissu
Soma Pia; CHADEMA kuanza na oparesheni Katiba Mpya, FreeTundu Lissu