PreGE2025 CHADEMA yatawakuta ya uchaguzi mdogo Jimbo la mbarali 2023

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Vitalis Msungwite

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
3,318
Reaction score
7,985
Habari wanajukwaa na heri ya sikukuu ya matawi.

Ndugu wanabodi kama mtakumbuka mwaka 2023 ilitokea ajali ya pawatila na pikipiki iliyopelekea kifo Cha mbunge wa Jimbo letu ndg. Mtega. Tukio Hilo lilivuta hisia na kuleta majozi makuu katika Jimbo la mbarali na kuacha mijadala katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Kutokana na tukio Hilo lkatangazwa nafasi wazi na ukaitishwa uchaguzi mdogo.

MCHAKATO WA MAANDALIZI KABLA YA UCHAGUZI.

Baada ya tangazo kutolewa chama mbalimbali vya kisiasa vilianza mchakato wa namna ya kuwapata wagombea. Katika mchakato huo kupitia CCM akateuliwa mh. Bahati Kenneth Ndingo kugombea na ndie alieshinda. Katika mchakato huu CHADEMA walijitoa. Vyama vingine na wagombea wao wateule ni kama vile;
Halima Abdalah Magambo (AAFP),
Osward Joseph Mndeva (DP),
Zavely Raurent Seleleka (UDP),
Exavery Town Mwataga (CCK), Morris Thomas Nkongolo (TLP)
Modestus Dickson Kilufi (ACT Wazalendo).
Mary Moses Daudi (UPDP),
Fatuma Rashidi Ligania (NLD),
Bariki Oswald Mwanyalu (Demokrasia Makini),
Hashim Abasi Mdemu (ADC),
Mwajuma Noty Mirambo (UMD), Husseni Hasani Lusewa ( Chama cha ADA- TADEA.

VIONGOZI WA CHADEMA KUJIUNGA NA VYAMA VINGINE WAKATI WA KAMPENI.

Kipyenga kilipulizwa na viongozi wengi wa CHADEMA walihaha na kutafuta namna ya kuinyoosha CCM katika uchaguzi huo. Kutokana na hamu na morali ya uchaguzi viongozi wa CHADEMA katika kata zenye nguvu kama madibira na ubaruku wakaungana na mgombea Kwa tiketi ya ACT ndugu Dickson Kirufi wakati wa kampeni. Tukio Hilo lilipelekea viongozi ngazi ya taifa na Jimbo kutoa tamko na vitisho Kwa viongozi watakaosimama majukwaani kufutwa uanachama. Licha ya vitisho hivyo Kuna waliosimama majukwaani na wengine walipiga kampeni kupitia vijiwe na maikusanyiko ya kijamii. Kuna waliojitoa mchanga kuwa kama kufutwa na wafutwe ila wakashiriki. Ila kampeni zilipwaya sana Kwa upande wa upinzani.

SIKU YA UCHAGUZI
Moja ya mambo ambayo hayatasahaulika na viongozi wa kisiasa na kiselikali katika Jimbo la mbarali ni siku ya uchaguzi. Siku hii ilipoa sana na Kwa mara ya kwanza wapiga kura walijitokeza Kwa idadi ndogo sana. Vituo vilivyokuwa na majina 400+ ilikuwa ni kawaida Kuona walioshiriki ni 70, 60 na vichache 100+. Wakati huo huo wengi wa wapiga kura hao ni makada kindaki ndaki wa chama Cha mapinduzi jambo lililopelekea mgombea Kwa tiketi ya CCM kushinda Kwa kishindo. Na tangu hapo nguvu ya CHADEMA Kwa mbarali inazidi kushuka na iwapo hawatashiriki na mwaka huu ndo kwaheri.

MTAZAMO WANGU NA MAONI YANGU.

Kila nikifikiri mchakato ule naona Kabisa mfumo ule katika Jimbo Lile utatokea nchi nzima. Ili tusifike huko waangalie upya kampeni Yao wanayoenda nayo vinginevyo viongozi na wanachama watahamia kwenye unafuu. Kuna watu siasa ni maisha Yao wao washinde washindwe kikubwa wakapambane.
 
Uchambuzi mbovu kabisa, umesema bila chadema watu hawakupiga kura means hawakuridhika na mfumo wa uchaguzi. Nilidhani ungesema labda ACT ilipewa kura nyingi au uchaguzi ulikua na mvuto kwa CCM kumbe watu nao walisusa kupiga kura!!!

Hivyo uchambuzi wako unaashiria chadema ina nguvu sana kiasi cha kwamba isiposhiriki uchaguzi unapwaya. Otherwise hapo Mbarali mwaka jana tulisimamisha wagombea vijiji na vitongoji karibu vyote ila wagombea zaidi ya 80% walienguliwa!! So hakuna mlichobadilika.

Nyie gombeeni wenyewe, msilazimishe chadema ishiriki ili kuhalalisha utapeli wenu
 
Sawa
 
Habari wanajukwaa na heri ya sikukuu ya matawi.

Ndugu wanabodi kama mtakumbuka mwaka 2023 ilitokea ajali ya pawatila na pikipiki iliyopelekea kifo Cha mbunge wa Jimbo letu ndg. Mtega. Tukio Hilo lilivuta hisia na kuleta majozi makuu katika Jimbo la mbarali na kuacha mijadala katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Kutokana na tukio Hilo lkatangazwa nafasi wazi na ukaitishwa uchaguzi mdogo.

MCHAKATO WA MAANDALIZI KABLA YA UCHAGUZI.

Baada ya tangazo kutolewa chama mbalimbali vya kisiasa vilianza mchakato wa namna ya kuwapata wagombea. Katika mchakato huo kupitia CCM akateuliwa mh. Bahati Kenneth Ndingo kugombea na ndie alieshinda. Katika mchakato huu CHADEMA walijitoa. Vyama vingine na wagombea wao wateule ni kama vile;
Halima Abdalah Magambo (AAFP),
Osward Joseph Mndeva (DP),
Zavely Raurent Seleleka (UDP),
Exavery Town Mwataga (CCK), Morris Thomas Nkongolo (TLP)
Modestus Dickson Kilufi (ACT Wazalendo).
Mary Moses Daudi (UPDP),
Fatuma Rashidi Ligania (NLD),
Bariki Oswald Mwanyalu (Demokrasia Makini),
Hashim Abasi Mdemu (ADC),
Mwajuma Noty Mirambo (UMD), Husseni Hasani Lusewa ( Chama cha ADA- TADEA.

VIONGOZI WA CHADEMA KUJIUNGA NA VYAMA VINGINE WAKATI WA KAMPENI.

Kipyenga kilipulizwa na viongozi wengi wa CHADEMA walihaha na kutafuta namna ya kuinyoosha CCM katika uchaguzi huo. Kutokana na hamu na morali ya uchaguzi viongozi wa CHADEMA katika kata zenye nguvu kama madibira na ubaruku wakaungana na mgombea Kwa tiketi ya ACT ndugu Dickson Kirufi wakati wa kampeni. Tukio Hilo lilipelekea viongozi ngazi ya taifa na Jimbo kutoa tamko na vitisho Kwa viongozi watakaosimama majukwaani kufutwa uanachama. Licha ya vitisho hivyo Kuna waliosimama majukwaani na wengine walipiga kampeni kupitia vijiwe na maikusanyiko ya kijamii. Kuna waliojitoa mchanga kuwa kama kufutwa na wafutwe ila wakashiriki. Ila kampeni zilipwaya sana Kwa upande wa upinzani.

SIKU YA UCHAGUZI
Moja ya mambo ambayo hayatasahaulika na viongozi wa kisiasa na kiselikali katika Jimbo la mbarali ni siku ya uchaguzi. Siku hii ilipoa sana na Kwa mara ya kwanza wapiga kura walijitokeza Kwa idadi ndogo sana. Vituo vilivyokuwa na majina 400+ ilikuwa ni kawaida Kuona walioshiriki ni 70, 60 na vichache 100+. Wakati huo huo wengi wa wapiga kura hao ni makada kindaki ndaki wa chama Cha mapinduzi jambo lililopelekea mgombea Kwa tiketi ya CCM kushinda Kwa kishindo. Na tangu hapo nguvu ya CHADEMA Kwa mbarali inazidi kushuka na iwapo hawatashiriki na mwaka huu ndo kwaheri.

MTAZAMO WANGU NA MAONI YANGU.

Kila nikifikiri mchakato ule naona Kabisa mfumo ule katika Jimbo Lile utatokea nchi nzima. Ili tusifike huko waangalie upya kampeni Yao wanayoenda nayo vinginevyo viongozi na wanachama watahamia kwenye unafuu. Kuna watu siasa ni maisha Yao wao washinde washindwe kikubwa wakapambane.
Nguvu ipi imepungua mbona tumeona juzi wamenda mbalali pale wakanyimwa uwanja wa kampeni
 
Back
Top Bottom