Chadema yatembelea masoko ya Mwanza ili kujionea ugumu wa maisha kwa vitendo. Hali ni mbaya mno

Chadema yatembelea masoko ya Mwanza ili kujionea ugumu wa maisha kwa vitendo. Hali ni mbaya mno

Hali ngumu kivipi wakati naona vijana wanatusua sana kipindi hiki cha mama amefungua nchi.?!

Hizi ford rangers, range rover vogue, fortuner new model nk ni zakina nani mjini hapa, maana zimeongezeka kwa Kasi Sana mijini humu.
Vituo vya mafuta na showroom za magari zinajengwa Kwa speed mno, showroom za magari zinakauka kabisa mzigo.

Halafu hizi gari na haya mashow room, shopping malls nyingi za vijana kabisa, aisee watu hatufanani kabisa.
 
Ikibidi kesho wawapelekee moto hadi ofisi ya Mkuu Wa Mkooa haiwezekani maisha yanazidi kua magumu halafu Rais anakula bata Ughaibuni tu.
Tena anakwenda kumpa Papa zawadi ya Tanzanite .... Vatican ilivyo na mali ni ya kuwapa zawadi kama hizo. Wanempa mkeka wa makuti angefurahi tu badala ya Tanzanite.
 
Si mlisema amtaki maendeleo ya vitu mbona mnazama masoko ya JIWE?
Kila siku huwa nakuuliza ila huwa hujibu, huwa nakuulizaga hivi, wewe ni massawe wa wapi mpumbavu hivi? Jiwe alipata wapi hela ya kujenga masoko? Tuseme ni kweli alijenga, kwa hiyo wananchi wakale hayo masoko?
 
Kila siku huwa nakuuliza ila huwa hujibu, huwa nakuulizaga hivi, wewe ni massawe wa wapi mpumbavu hivi? Jiwe alipata wapi hela ya kujenga masoko? Tuseme ni kweli alijenga, kwa hiyo wananchi wakale hayo masoko?
Mpumbavu mama yako alikuza ukiwa na ubongo ulioyumba kwa kuendelea kulala vilabuni ukiwa tumbo

Hivi wewe bwege unadhani Kila mchaga ni shoga na mpinga Kila kitu kama wewe na mumeo Fre?

Nakupa tena tahadhari usisogelee Uzi wangu Wala comment yangu alafu kama wewe ni mchaga si utambulishe Id yako ndg James Delicious?
 
Hivi hawa kenge wa chadema wanaweza kutuambia ni lini maisha yalikuwa mapesi?kuna kenge wao mmoja alikimbilia canada leo hii karudi Tz.Hivi unafikiri kwa nini alirudi Tanzania?
Sasa kama hayajawahi kuwa mepesi ni nani wa kulaumiwa? Kama sio upumbavu unakusumbua ni nani kenge kati ya aliesababisha maisha yako kuwa magumu na anaekusanua kuwa uzinduke kuwa uhalisia wa maisha yako hayatakiwi yawe hivyo? Hii nchi kupata maendeleo katikati ya Wimbi la watu wapumbavu kiasi hiki ni ngumu sana!
 
Vijana wana hela bhana! Nashangaa hawa jamaa wanalalamika hali ngumu.
Washkaji zangu kibao wametusua kipindi cha mama na ukiwaambia kuhusu ugumu wa maisha hawakuelewi kabisa
 
World Bank wanasema uchumi wa Tanzania siyo jumuishi, umetengeneza kundi kubwa la watu ambao wamenasa katika mnyororo wa umaskini (vicious cycle of poverty), kwa akili za watu wanaoamini katika kukusanya tozo na kukopa pesa zinazoishia mifukoni mwa wajanja na kununulia maviete ya watawala hakuna kitakachofanyika kuboresha hali ya maisha ya watanzania walio wengi, labda yafanyike mabadiliko makubwa sana ya mfumo wa uongozi.​
 
Una elimu gani ??? Samahani?
Sina elimu yoyote ya vyeti, ila haimaanishi sina elimu sababu hata kuandika inahitaji elimu...

Sasa na mimi nijibu wametembelea masoko ili kujionea ugumu wa maisha kwa vitendo - Sasa kwani hawajui au wanaishi wapi ?

Unless unaishi tofauti na jamii hakuna mtu ambaye hajui ugumu wa maisha kitaa...
 
Back
Top Bottom