CHADEMA yatikisa Bunda. Wassira akataliwa na wananchi waziwazi

CHADEMA yatikisa Bunda. Wassira akataliwa na wananchi waziwazi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Maneno Matupu hayavunji mfupa, zaidi jionee mwenyewe

Screenshot_20261003_191552_Instagram.jpg
Screenshot_20261003_191541_Instagram.jpg
Screenshot_20261003_191459_Instagram.jpg


Nchi iko tayari kwa mabadiliko, na muda tayari umefika, Patamu hapo!
 
Wakipata hata 5% itakuwa ajabu sana
Huo uchaguzi wa aina hiyo bila CCM na viongozi wake kuangamizwa kabisa sahau kabisa.
Hilo ni jambo ambalo haliwezekani kwao kulikubali.
Uchaguzi wa huru na HAKI ccm kwisha Kwisha, Kwisha
Unapozungumzia uchaguzi wa aina hiyo ni lazima kukubali kuwa CCM hii iliyopo sasa haitakuwepo wakati uchguzi wa namna hiyo unapofanyika.
 
Unapozungumzia uchaguzi wa aina hiyo ni lazima kukubali kuwa CCM hii iliyopo sasa haitakuwepo wakati uchguzi wa namna hiyo unapofanyika.
Haya pata picha kichwani mwako, unawezaje kuipoteza bila ya kusema bangi nibangue nivuke mto
 
Back
Top Bottom