Huo wimbo mtaimba hadi muingie kaburini.Uchaguzi wa huru na HAKI ccm kwisha Kwisha, Kwisha
Kwa vile mnawaua chadema. Granteed free and fair elections, you are gone! Au kutokee civil war, ndiyo mtaona ukweli wa kupendwa au kutopendendwaHuo wimbo mtaimba hadi muingie kaburini.
Kule Mahakamani huku HecheManeno Matupu hayavunji mfupa, zaidi jionee mwenyewe
View attachment 3683157View attachment 3683158View attachment 3683160
Nchi iko tayari kwa mabadiliko, na muda tayari umefika, Patamu hapo!
sokwe soon is going homeWapi sokwe la taifa?
Huyu shetani wa Samia mlaaniwa siyo kujibu ni kupiga block !Una haki ya kunidharau kwasababu mimi sio nyumbu kama wewe! Ahahahahaha!!
Inasikitisha sana mkuu 😎There always will be a 'Mbaga Jr" eternally.
Badala ya wewe kuwa wa kwanza kuniblock unashawishi wengine ndio waniblock huku wewe ubaki kufaidi nondo zangu! Ahahahahaha!!Huyu shetani wa Samia mlaaniwa siyo kujibu ni kupiga block !
Kwani mdada aliyempiga ngumi ya pua Taisoni Wasira alitoka chama kipi? Rejea kisa cha Wasira kufungiwa miaka mitano kushiriki uchaguzi.Hizi pigo alileziletaga dada yako Bulaya na hakutoboa
USSR
Haya
Kwa kuwa wewe ni mtu wa "Bange", ngoja nikupe picha inayoendana na bange ili ikolee vizuri kichwani mwako.Haya pata picha kichwani mwako, unawezaje kuipoteza bila ya kusema bangi nibangue nivuke mto
Ee ndiyo, ni nyomi og, siyo ya kubhumba.Hiyo nyomi hakuna aliyesombwa na malori
Ally Hapi, Mariam Ditopile, Jokate, ziko mtu hizi?? long time sijawasikia!!Kwa kuwa wewe ni mtu wa "Bange", ngoja nikupe picha inayoendana na bange ili ikolee vizuri kichwani mwako.
CCM ilisha "potea" siku nyingi, kilichopo ni genge la wavuta bange kama ulivyo wewe.
Haiwezi kuwa kazi ngumu kwa waTanzania kuwashughulikia watu wa namna yako.
Sasa kama hujaelewa, juwa kwamba wewe unaathiriwa na janga kubwa zaidi ya hizo bange tu unazoziabudu.
Ally Hapi, Mariam Ditopile, Jokate, ziko wapi mtu hizi??, long time sana sijawasikia!!Ally Hapi, Mariam Ditopile, Jokate, ziko mtu hizi?? long time sijawasikia!!