Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Bulaya yuko ccmHizi pigo alileziletaga dada yako Bulaya na hakutoboa
USSR
Wakipata hata 5% itakuwa ajabu sanaUchaguzi wa huru na HAKI ccm kwisha Kwisha, Kwisha
Ok.πManeno Matupu hayavunji mfupa, zaidi jionee mwenyewe
View attachment 3683157View attachment 3683158View attachment 3683160
Nchi iko tayari kwa mabadiliko, na muda tayari umefika, Patamu hapo!
Ahahahahaha! Mabadiliko ya mitandaoni sawa.Maneno Matupu hayavunji mfupa, zaidi jionee mwenyewe
View attachment 3683157View attachment 3683158View attachment 3683160
Nchi iko tayari kwa mabadiliko, na muda tayari umefika, Patamu hapo!
Huna akili, nimekudharau sanaAhahahahaha! Mabadiliko ya mitandaoni sawa.
Una haki ya kunidharau kwasababu mimi sio nyumbu kama wewe! Ahahahahaha!!Huna akili, nimekudharau sana
Mimi napenda tu kuzungumzia jina ulilolitaja kwenye kichwa cha mada hapo juu.Nchi iko tayari kwa mabadiliko, na muda tayari umefika, Patamu hapo!
There always will be a 'Mbaga Jr" eternally.π
Huo uchaguzi wa aina hiyo bila CCM na viongozi wake kuangamizwa kabisa sahau kabisa.Wakipata hata 5% itakuwa ajabu sana
Unapozungumzia uchaguzi wa aina hiyo ni lazima kukubali kuwa CCM hii iliyopo sasa haitakuwepo wakati uchguzi wa namna hiyo unapofanyika.Uchaguzi wa huru na HAKI ccm kwisha Kwisha, Kwisha
Haya pata picha kichwani mwako, unawezaje kuipoteza bila ya kusema bangi nibangue nivuke mtoUnapozungumzia uchaguzi wa aina hiyo ni lazima kukubali kuwa CCM hii iliyopo sasa haitakuwepo wakati uchguzi wa namna hiyo unapofanyika.
Tunawachangia pesa mnajinunulia magari ya 250m 150m 80m 60m mtu mmojaOk.π
Wapi sokwe la taifa?Maneno Matupu hayavunji mfupa, zaidi jionee mwenyewe
View attachment 3683157View attachment 3683158View attachment 3683160
Nchi iko tayari kwa mabadiliko, na muda tayari umefika, Patamu hapo!