CHADEMA yatikisa Bunda. Wassira akataliwa na wananchi waziwazi

Hivi wasira ndio lile lijizee linalosinzia hovyo?
 
Haya pata picha kichwani mwako, unawezaje kuipoteza bila ya kusema bangi nibangue nivuke mto
Kwa kuwa wewe ni mtu wa "Bange", ngoja nikupe picha inayoendana na bange ili ikolee vizuri kichwani mwako.
CCM ilisha "potea" siku nyingi, kilichopo ni genge la wavuta bange kama ulivyo wewe.
Haiwezi kuwa kazi ngumu kwa waTanzania kuwashughulikia watu wa namna yako.

Sasa kama hujaelewa, juwa kwamba wewe unaathiriwa na janga kubwa zaidi ya hizo bange tu unazoziabudu.
 
Ally Hapi, Mariam Ditopile, Jokate, ziko mtu hizi?? long time sijawasikia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…