kuna kitu kinaitwa separation of power..judiciary, parliament. and executive..lakini hivi haviwezi kufanya kazi bila kuingiliana perse..hence check and balance..kwahiyo mihimili yote mitatu inaingiliana...bunge bila raisi hakuna bunge, na raisi bila bunge hakuna serikali..vitu kama kusaini muswada ni sehemu muhimu ya kazi ya raisi..therefore humtambui raisi huo ni msimamo wa chama lakini kiutendaji wa kazi za kikatiba lazima raisi utamtambua tu hata kama indirect.
hutaki kabisa kumtambua raisi achana na shughuli zote ambazo unajua lazima raisi atatia mkono wake upende usipende, ikiwa ni pamoja na kuutema ubunge..