Elections 2010 CHADEMA yatoa tamko: Hatumtambui Kikwete kama rais

Elections 2010 CHADEMA yatoa tamko: Hatumtambui Kikwete kama rais

Penye red: hayo ni majibu ya kirahisi. Yaani umesha ku-conclude beyond reasonable doubt kwamba majority wale ambao hawakujitokeza kupiga kura ni wapinzani tu(eg Chadema)? Kwa kigezo kipi?

Kama ni hivyo basi kuna something very sisnister about the historical low turn-out this year. Kimakusudi ilifanyika kulenga wapinzani. Tume huru kuchunguza hili ndiyo pekee inaweza kupata ukweli ya kilichojiri katika zoezi zima la kujiandikisha na upigaji kura.

Nakubaliana nawe. kusema kuwa wapinzani hawapigi kura ni MBINU inayotumiwa kuwahadaa wananchi. Hivi mtu akiwa mwanachama wa CCM na mwingine wa upinzani kuna tofauti gan? Kwanini wa upinzani asipige kura eti wa ccm ndo apige? Mwaka huu wapinzani walihamsika kupiga kura hasa vijana. Kama kuna ambao hawakupiga kura basi ni wale ambao juhudi zilifanyika makusudi kuwafanya wasipate nafasi japo walikuwa na sifa.
Hiyo ni danganya toto. Wapinzani wanapiga kura kuliko CCM.
 
Raisi wa Jamhuri ya muungano wa TAnzania ameshatangazwa kwanini Dr Slaa anaibuka na kupinga matokeo? Je ndo hana ukomavu katika SIASA za Tanzania? Je Canon law haijamsadia?

Nawakilisha
 
Kwani JK kakomaa kisiasa? Aliyekomaa kisiasa haibi kura hata siku moja wala haridhiki na wizi wa kura
 
Kwani JK kakomaa kisiasa? Aliyekomaa kisiasa haibi kura hata siku moja wala haridhiki na wizi wa kura

Sasa kama kaiba kwani Slaa hasichukuwe uamuzi wa Busara wa mahakama au Canon law haikumsadia?
 
Why is it your business if he makes noise? Are you even aware what the Canon law is all about? One who is politically astute like Dr Slaa will not hesitate to speak the truth even though that truth hurts people like you; you will rather him keep quite for the small section of Tanzania population to ravage the majority and deny them of their rights? For us who believe in truth and justice, we will always support the truth, and the truth shall set us free. Wait and See, then your eyes will be opened!!!
 
Why do you insist on Canon law which you don't even know; wewe hata spelling ya "asichukue" unasema "hasichukuwe" hujui, je, waweza kujua what really is the Canon Law? Is Tanzania governed by the Canon law? Why despise church law which has nothing to do with you topic? Au una issue yako ambayo unataka kuileta against the church? Busara inahitajika unapowasilisha topic, usilete topic kwa kusudi la ku-insult church law!!! Watu wana uelewa, usifikiri we cannot read between the lines!! Hapa ni forum ya great thinkers my friend!!!
 
Sasa kama kaiba kwani Slaa hasichukuwe uamuzi wa Busara wa mahakama au Canon law haikumsadia?

We haikosi umetumwa wewe. Fanya mazoezi ya kutosha ya ubongo. ni ushauri wa bure kabisa. Ukiashauamsha ubongo wako kwanza utajua nini maana ya kukomaa na kutokukomaa, nini vinamfanya mtu kuonekana kakomaa na nini hajakomaa kisha waweke hawa wawili unaowataja kwenye mizani uone nani bado kilaza na hajakomaa zaidi ya mwingine. Nawakilisha
 
Why do you insist on Canon law which you don't even know; wewe hata spelling ya "asichukue" unasema "hasichukuwe" hujui, je, waweza kujua what really is the Canon Law? Is Tanzania governed by the Canon law? Why despise church law which has nothing to do with you topic? Au una issue yako ambayo unataka kuileta against the church? Busara inahitajika unapowasilisha topic, usilete topic kwa kusudi la ku-insult church law!!! Watu wana uelewa, usifikiri we cannot read between the lines!! Hapa ni forum ya great thinkers my friend!!!

Senorita Umenena. Me nadhani jamaa aende michuzi au Jahazi la kina Kibonde. Huko kunamfaa zaidi. Anaangalia yasiyoakuwa na tija na kusagau kusimamia mambo yenye tija kwa maendeleo ya taifa letu.
 
Raisi wa Jamhuri ya muungano wa TAnzania ameshatangazwa kwanini Dr Slaa anaibuka na kupinga matokeo? Je ndo hana ukomavu katika SIASA za Tanzania? Je Canon law haijamsadia?

Nawakilisha

wewe ndo hujakomaa akili na kimaadili
 
Huyu JeyKeywaUkweli naona sio mwenzetu.Anahitaji msaada mwenzetu,hayupo.Kwamba anafikiri Canon Law inaingiaje kwenye kuzuia wezi wasichakachue?.Naona hoja zako hazina mashiko.Kuyakataa matokeo ni haki ya Dr.Slaa maana hawa jamaa wamezuia haki kwa kujifanya kuwa wao ni wafalme kuwa wakishatangaza hakuna wa kupinga.
 
raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ameshatangazwa kwanini dr slaa anaibuka na kupinga matokeo? Je ndo hana ukomavu katika siasa za tanzania? Je canon law haijamsadia?

Nawakilisha

kwani mwizi huwa ana busara!!???
 
A man who is not convinced against his WILL is of the same opinion STILL.Did anybody convince Slaa kwamba Tume haikuvuruga matokeo?if nt u can understand his position.And spare Canon law out of this.
 
unajua elimu ya MADRASA inasumbua sana ndo matatizo yake haya!!:hippie:
 
Very true Henge, and that is the underlying issue for our friend with this lame post!!!!!!! Such people do not know the difference between religious laws, and secular/civil laws...My my....
 
Huyu jamaa katumwa nini au ni miongoni mwa waliotumwa na mafisadi humu JF kuanzisha post za kitoto. Watanzia wanamwelewa Dr. Slaa ni mtu wa namna gani na JK ni nani ndio maana wakampa kura nyingi Slaa JK akazipunguza na kujipa zingine.

Wewe bado ni mtoto mdogo hujui maana ya siasa na kukomaa kisiasa kaosme kwanza tukutane 2015.
 
Back
Top Bottom