Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipenzi chenu lakini wengi hamkujitokeza kupiga kura mrifikiri kura zitajipiga automatic kwa mapenzi yenu au mawazo. Elimisheni Watu kwa ajili ya uchaguzi ujao 2015 ama sivyo matokeo yatakuwa kama haya.Kwa sasa hivi kuleta malumbano hakutasaidia sana kwa sababu uchaguzi wa rais hauwezi kurudiwa tena wala Rais hawezi kutenguliwa kwa sasa kutikana na malalamiko ya Chadema.
Angalieni hizi kauli za kutomkubali Rais na matokeo yanaweza kutupeleka kule nyuma kama ilivyokuwa Zanzibar kabla ya maridhiano kitu ambacho hakuna Mtu anetakia mema taifa hili atapenda.
Mungu ibariki nchi yetu na watu wake tukae kwa amani. Amen
Watanzania tunajua Kikwete si rais halali maana kasimikwa na tume ya uchaguzi kwa ushawishi wake mwenyewe. Anaweza kupongezwa au kutopongezwa. Huo ni uamuzi wa nchi husika kuamua wanavyoona.Wamarekani yawapongeza wa TZ kwa kukamilisha uchaguzi na ampongeza Dr Shein. JK je??????????????????????
U.S. Embassy Tanzania
Press Release
November 13, 2010
The White House
Office of the Press Secretary
For Immediate Release
November 13, 2010
Statement by the President on Elections in TanzaniaOn behalf of the United States, I congratulate the people of the United Republic of Tanzania on your recent national election and your continued commitment to a tradition of multiparty contests begun in 1992. I look forward to working with President Jakaya Kikwete and the members of the Tenth Parliament as we build on the long, fruitful partnership between our nations to advance shared development goals and tackle the many global challenges before us
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Monday, November 15, 2010I also extend my congratulations to Zanzibar's President Ali Mohamed Shein, First Vice President Seif Sharif Hamad, the new unity government, and most especially the Zanzibari people, who have made history by conducting a peaceful contest after years of strife. As I said to President Kikwete when we met at the White House in 2009, the people of the United States support all Tanzanians in your efforts to institutionalize democratic, transparent governance, to realize the full potential of your Union, and to ensure that the steps you have taken together toward a lasting peace and prosperity cannot be reversed
kama nilimsikia vizuri . Mbowe alisema muda si mrefu watatoa matokeo halisi ya uchaguzi kama yalivyo bandikwa na kusainiwa na mawakala kutoka vituo vya uchaguzi.
I hope kuwa baada ya hapo ataeleza next move. Lets be patience.
Nashauri chadema wasikawie sana kutujuza mengineyo yanayojiri.
hatua zaidi zichukuliwe na chadema,mfano operesheni PAPA/NYANGUMI.
Ninachokiona hapa, watu wataanza kushindwa kumtofautisha Slaa na Lyatonga Mrema. Kama kweli hamtambui Rais awaambie wabunge wake wasiingie bungeni kama walivyofanya wenzao wanaume CUF 1995-2000.[/QUOT
Watu wenye akili na uelewa kama wako, sio wote. Pole:nono:
Kikwete ni rais wangu na wenu ninyi wote ndani ya jf, mpende msipende.
Nguvu ya umma ndio iliyomuweka madarakani
nguvu ya umma ndiyo iliyowapa ubunge wabunge 22 wa chadema
sijakuelewa kwanini unaunga mkono kubadilisha Katiba?
- Great post bro!, Chadema wamefanya kazi nzuri sana kwenye huu uchaguzi kwa sababu wame-expose weaknesess za uongozi wa CCM kila kona kitu ambacho kitawapa nafasi CCM kujirekebisha au huenda ukawa ndio mwisho wa empire,
- Binafsi siamini kwamba Chadema watasimamia msimamo wa kutomtambua Rais aliyeapishwa tayari, kwa sababu itaishia kuvuruga kazi kubwa na nzuri waliyoifanya tayari, kwa maoni yangu ni kwamba kwa msimamo kama huu watakuwa wanajitafutia un-necessary national political attention ambayo itawapa mwanya maadui wao kisiasa kuwaingia kati kati, kuwagawa na wataishia kufarakana kama enzi za TLP na NCCR na CUF kule visiwani
- Chadema chonde chonde wananchi tunwahitaji sana sasa kuliko wakati wowote uliopita, kumkosesha tembo usingizi huu mwendo wa kutotambuana haujakaa sawa!
William.