Penye red: hayo ni majibu ya kirahisi. Yaani umesha ku-conclude beyond reasonable doubt kwamba majority wale ambao hawakujitokeza kupiga kura ni wapinzani tu(eg Chadema)? Kwa kigezo kipi?
Kama ni hivyo basi kuna something very sisnister about the historical low turn-out this year. Kimakusudi ilifanyika kulenga wapinzani. Tume huru kuchunguza hili ndiyo pekee inaweza kupata ukweli ya kilichojiri katika zoezi zima la kujiandikisha na upigaji kura.
Nakubaliana nawe. kusema kuwa wapinzani hawapigi kura ni MBINU inayotumiwa kuwahadaa wananchi. Hivi mtu akiwa mwanachama wa CCM na mwingine wa upinzani kuna tofauti gan? Kwanini wa upinzani asipige kura eti wa ccm ndo apige? Mwaka huu wapinzani walihamsika kupiga kura hasa vijana. Kama kuna ambao hawakupiga kura basi ni wale ambao juhudi zilifanyika makusudi kuwafanya wasipate nafasi japo walikuwa na sifa.
Hiyo ni danganya toto. Wapinzani wanapiga kura kuliko CCM.